TANGAZO


Monday, December 9, 2013

Maadhimisho ya miaka 52 Uhuru wa Tanzania Bara katika picha, Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd, akipokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki, wakati alipowasili Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam leo katika maadhimisho ya miaka 52 ya Uhuru wa Tanzania Bara. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Baadhi ya Makatibu wa Wizara mbalimbali wakiwa katika maadhimisho hayo, Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo.
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande akisalimiana na Rais mtaafu, Amani Abeid Karume wakati wa maadhimisho hayo, Uwanja wa Uhuru jijini leo.
 Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande, akisalimiana na Mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, marehemu Abeid Amani Karume wakati wa maadhimisho hayo, Uwanja wa Uhuru jijini leo.
Waziri Mkuu Kayanza Pinda, akipokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki.
Waziri Mkuu, Kayanza Pinda, akisalimiana na Jaji Mkuu, Mohamed Chande Othaman, wakati alipowasili uwanjani hapo.
Waziri Mkuu, Kayanza Pinda, akisalimiana na Rais mstaafu wa Zanzibar, Aman Abeid Karume, wakati wa maadhimisho hayo, jijini leo.
 
 
 
 
 
 
 
 
Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa na Mkuu wa Majeshi, Jenerali Davies Mwamunyange, akiwapungia wananchi wakati akiwasili Uwanja wa Uhuru katika maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Tanzania Bara, Dar es Salaam leo.
Rais Jakaya Kikwete, akiongozwa na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Davies Mwamunyange, kukagua gwaride, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Tanzania Bara, Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam leo.
Rais Jakaya Kikwete, akiongozwa na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Davies Mwamunyange, kukagua gwaride, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Tanzania Bara, Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam leo.
 
 
 
 
 Rais Jakaya Kikwete, akipoke heshima kutoka kwa vikosi vya ulinzi, wakati wa maadhimisho hayo. Wa pili kulia ni Makamu wake, Dk. Mohamed Gharib Bilal, wa pili kushoto ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Davies na kulia ni Rais mstaafu wa Zanzibar, Amani Abeid Karume.
 
 
 
 
 
Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), kikitoa heshima kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Jakaya Kikwete.
Kikosi cha Polisi wanawake, kikiongozwa na Inspekta Latifah Chicco, kikipita kutoa heshima mbele ya Rais Jakaya Kikwete.
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein (kulia), akibadilishana mawazo na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, wakati wa maadhimisho hayo.
 
 
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, akizungumza na waandishi wa habari, mara baada ya kumalizika sherehe za maadhimisho hayo.

No comments:

Post a Comment