Mkuu wa Wilaya ya Makete, Josephine Matiro akielezea kuhusu ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Makete, wilayani Makete leo, wakati Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwa katika ziara ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimshukuru mfanyabiashara mwenyeji wa Makete, kwa kutoa msaada wa tani 5 za saruji kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Makete, wilayani Makete leo, akiwa katika ziara ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo, mkoani Njombe.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho, Nape Nnauye wakilakiwa na chipukizi walipowasili wilayani Wanging'ombe, kuzindua mradi wa kilimo kwa vijana katika Kijiji cha Usuka, Kata ya Usuka leo.Vijana hao watakuwa wanatumia kulia trekta lililotolewa msaada na CCM kwa vijana wa Mkoa wa Njombe.
Katibu wa Siasa na Uhusiano wa Kimataifa wa CCM, Dk. Asha Rose Migiro na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho, Nape Nnauye wakisalimiana na wananchi wa Kijiji cha Usuka, Kata ya Usuka wilayani Wanging'ombe, mkoani Njombe leo.
Ngoma ikituimbuiza wakati wa uzinduzi wa shamba la vijana la kijiji hicho.
Kinana akiwasalimia wananchi walifika kushuhudia uzinduzi wa sahamba la vijana katika Kijiji cha Usuka
Vijana wa Kijiji cha Usuka, Kata ya Usuka wakishangilia baada ya Kinana kuwaeleza kuwa wasaidiwa na CCM Trekta la kusaidia kulima katika shamba la vijana hao.
Vijana wakila kiapo cha utii kwa CCM baada ya kujiunga na chama hicho katika Kijiji cha Usuka.
Dk Migiro akijaribu Power Tiller itakayotumika kulimia katika shamba la vijana la Usuka, wilayani Wanging'ombe.
Kinana akitoa salamu za rambirambi za CCM kwa aliyekuwa Rais wa mweusi Kwanza wa Afrika Kusini marehemu, Nelson Mandela aliyefariki Dunia. Kinana alitoa salamu hizo katika mkutano wa hadhara katika Kijiji cha Ramadhan, Njombe.
Kinana akihutubia katika Kijiji cha Ramadhan, Kata ya Ramadhan Njombe leo
Kinana akitoka kuzindua Jengo la CCM la Kitega uchumi Mkoa wa Njombe. (Picha zote na Kamanda Richard Mwaikenda wa Kamanda wa Matukio Blog).

No comments:
Post a Comment