TANGAZO


Sunday, December 8, 2013

Erick’ Msengii’ Natianota na mkewe Herieth Kashangaki wameremeta

Bwana Harusi Erick’ Msengii’ Natianota, akimlisha keki mke wake kipenzi Herieth Kashangaki siku waliyoamua kuachana na ukapera hapo jana.
 Mambo ya kwaito hayo…saaafi.
Wadogo zake bwana harusi, wakiwa na nyuso za furaha kwa kaka yao kuoa.
Baba mzazi wa Bwana harusi Mzee Shanta Natianota, akiongea machache kwa wanae Erick na Herieth.
Wafanyakazi wenza na Bw. Harusi wakiwa kwenye picha ya pamoja.
Wageni waalikwa wakiwa katika sherehe ya harusi hiyo.
Mrs Nkurlu akitoa hongera kwa waliomeremeta.
Hongera mdogo wangu alisikika akisema Bro Joe.
Mama mzazi wa Bw. Harusi akimkabidhi zawadi ya vyombo Bi. Harusi Herieth ili aendelee kumpikia Erick ipasavyo kama yeye alivyokuwa akimpikia mwanae ”Mambo ya Siha njema hayo”
Ndugu wa karibu, marafiki nao wakipata picha ya kumbukumbu.
Bw. Harusi Erick na mkewe, Bi. Harusi Herieth Kashangaki, wakifungua muziki wakati wa sherehe yao hiyo. 

No comments:

Post a Comment