Waathirika wa kesi inayomkabili rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta
wameutaka Umoja wa Mataifa kukataa wito wa kutaka kucheleweshwa kwa kesi dhidi
ya Rais Kenyatta katika mahakama ya kimataifa ya ICC mjini The Hague,
Uholanzi.
Lakini mwanasheria wa waathirika, Fergal Gaynor, amesema kucheleweshwa kwa kesi kutapunguza nafasi ya kupatikana haki kwa waathirika. Bwana Kenyatta anakanusha mashitaka yanayomkabili dhidi ya uhalifu wa kibinadamu, kufuatia ghasia za baada ya uchaguzi mkuu wa 2007.
No comments:
Post a Comment