Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakilakiwa na mkuu wa
mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki(kushoto), muda mfupi baada ya kuwasili
katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, jijini
Dar es Salaaam leo jioni. Rais Kikwete amerejea nchini akitokea Warsaw Poland
ambapo alihudhuria mkutano wa Mabadiliko ya Tabia nchi Duniani na awali wiki
iliyopita alikuwa nchini Srilanka kuhudhuria mkutano wa Wakuu wa nchi za Jumuiya
ya Madola. (Picha na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment