TANGAZO


Wednesday, October 2, 2013

Wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali ajipambanua

*Asema Serikali itawabana watakaokiuka matumizi ya kemikali za viwandani na majumbani


Meneja wa Kanda ya Mashariki, Wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Daniel Ndiyo (kushoto), akieleza jambo kwa waandishi wa habari, kuhusu utekelezaji wa Sheria  namba 3 ya mwaka 2003 ya Kemikali za Viwandani na Majumbani, wakati wa mkutano na waandishi, uliofanyika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) leo, jijini Dar es Salaam. Kulia ni Ofisa Habari wa Idara ya Habari, Maelezo, Hassan Silayo. (Picha na Frank Mvungi)



1. Wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikalini:

ï Ni taasisiyaSerikaliiliyochiniyaWizarayaAfyanaUstawiwaJamii , ambayo ni Mshauri Mkuu wa Serikali kwenye masuala yanayohusu uchunguzi wa kimaabara

ï Ni taasisi inayosimamia Sheriaya Kemikali za Viwandani na Majumbani namba  3 ya mwaka 2003

ï Ni taasisi inayosimamia Sheria ya Vinasaba vya binadamu na  8yamwaka 2009, na kufanya Uchunguzi wa sampuli za Vinasaba vya binadamu.

2. Huduma zinazotolewa na Wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikalini: 
ï Kufanya uchunguzi wa kimaabara kuhusiana na ubora na usalama wa mali ghafi na bidhaa zinazozalishwa viwandani, chakula, dawa, kemikali, maji ya kunywa, maji taka na nyinginezo,

ï Kufanya uchunguzi kwa sampuli zinazohusiana na jinai kama vile mauaji, ubakaji, sumu, ujambazi, kusingiziwa au wizi wa watoto, madawa ya kulevya na mambo mengine mengi ya kijinai ili kuhakikisha kuwa haki inatendeka,

ï Kufanya uchunguzi kuhusiana na sampuli za jinai na masuala ya kijamii zinazohusisha vinasaba vya binadamu (Human DNA),

ï Kusimamia Sheria ya vinasaba vya binadamu (Human DNA Regulation Act)  na.3 yamwaka 2009, ambayolengo lake nikusimiamatumiziya
3. Lengo la kutungwakwasheriahiyo, nawalengwani:
ï Sheria ya Kemikali za Viwandani na Majumbani na. 3 yamwaka 2003 ilitungwa kwa lengo la kulinda afya za wananchi na mazingira,  dhidi ya madhara ya kemikali. 

ï Kwamudamrefukulikuwanahalihatarishikutokananakemikalikutumika, lakiniusimamizinaudhibitiulikuwamgumukwakuwasababuhapakuweponasheriayakuzisimamiakikamilifu,
ï Sheriahiiimeundwakufuatiliamzungukomzimawakemikali, ilikuzuiamadharakatikakilahatua,

ï Hivyo, walengwawasheriahiiniwotewanaojishughulishanakemikali , wakiwemo: 
? waagizaji, yaaniwanaoziletanchini,
? wasafirishaji, 
? Wanaohifadhi,
? Wasambazajinawauzajiwadogowadogo; 
? watumiaji,
? wanaohusikanautekeketezajiwakemikali taka, na
wengineo.
4. HatuazautekelezajiwaSheria.
ï UtekelezajiwaSheriahiiunafanyikakupitiausajili, ukaguzi, utoajivibali, utoajimafunzonakuhamasishajamiijuuyamatumizisalamayakemikali.

ï Kazizaukaguzinausajilizinatekelezwanawataalamu, wakiwemowakaguziwaliopatiwamafunzomaalumuyaudhibitinausimamiziwakemikali.

ï UsajiliukaguzinautoajivibariunafanyikakupitiakandazaWakala, ambazoni:
? GCLA MakaoMakuu, Dar es Salaam, ambayoinawadauwanaojihusishanashughulizakemikalizaidiya 1000, mipaka 2, nabandarikavu 12.
? Kanda yaZiwainayosimamiwakupitiaKupitia GCLA Mwanza.
? Kanda yaNyandazaJuuKusiniinayosimamiwakupitiaofisiyaWakala, Mbeya, ambapoinawadauwakemikaliwasiopungua 40 namipaka 12.
? Kanda yaKaskaziniinayosimamiwakupitiaOfisiyaWakala,  Arusha, ambapoinawadauwakemikaliwasiopungua 90 namipaka 6.
ï KwamujibuwaSheriahiiusajilinaukaguziunafanyikakwamakundiyoteyanayoshughulikanakemikali, yaaniwasafirishaji, waagizaji, wasambazaji, watumiaji, wauzajiwadogowadogonawenginewotewaoshughulikanakemikali.
ï Usajiliunafanyikakwa, 
? kampuninashughuliinayofanyakatiyazilizotajwahapojuu,
? kemikaliambazokampuniinahusikanazokwabiashara au kutumia,
aughalaambalokemikalihizozitakuwazinahifadhiwa.
5. ChangamotozilizojitokezakatikakutekelezaSheriahiinipamoja:
ï WadauwaSheriakutotekelezaSheriabilashurutinawananchikuwanauelewamdogowamadharayakemikali,
ï WaingizajiwakemikalikutokufuataSheriaikiwamokuwasilishanyarakazisizoharali,
ï Baadhiyamakampuni au viwandakutokuwanawataalamuwalionauelewakwenyemasualayakemikali,
ï ViwandavingivinavyotumiakemikalivilianzishwakablayaSheriakutungwa, hivyoimekuwanichangamotokwaokufikiaviwangovyavinavyotakiwanaSheria, 
ï Kueneakwawachimbajiwadogowadogowadhahabuwaotumiakemikalizenyemadharamakubwakama vile Sodium Cyanide.                       
6. Hatuazinazochukuliwahadisasa:
ï WakalaumeandaautaratibuwakuwatambuanakupongezajuhudizawadaukatikakutekelezaSheriakufuatananamakundiyaliyoainishwanaSheria. Ikiwanipamojana ; 
? Waagizajinawanaosafirishanjeyanchi,
? ViwandanaWatumiajiwengine,
? Wasafirishaji

ï TuanatarajiakuanzautaratibuhuumwishonimwamwakahuuambapotutakuwanaShereheyaMiakakumiyautekelezajiwaSheriahii.
ï Tumeandaamkakatiwakushirikiananataasisizinginezinazohusikakama vile Chuo cha Taifa cha UsafirishajinaPolisiwaUsalamaBarabarani, ambapotumeanzamazungumzoyakutupatianafasiyakutoamafunzokwawanavyuo.
ï Kuendeleakutoamafunzoyawadauwakemikalikupitiamikutano, warshanavipepelushi. MfanoleoMkemiaMkuuwaSerikaliatakuwaanatoamafunzoyamatumizisalamayakemikalikwamafundiselemalawaChangíombe Dar es Salaam.
ï Kwaupandewaraslimaliwatu, tunaendeleakuwasilishamahitajiUtumishikilamwaka, ilitupatiweajirazaidi. Wakatihuohuo, tumekuwatukipewakibali cha kutoaajirazamuda, ilikuhakikishakuwakazihazikwani.
ï Sheriakuanzakuchukuamkondo wake kwamakalizaidi, kwanimiakakumiyautekelezajiwaSheriailijikitazaidikwenyeutoajiwaelimu.
ï TunaandaaKanunimpyazitakazohusu:

? WasafirisahajinawaingizajiwaKemikali
? WatumiajiwakemikaliviwandaninaMaabara
? Wasambazajiwakemikali
? UsajiliwaMaghalanaUsajili
? UteketezajiwaKemikalizilizokwishamuda wake
? UdhibitiwaKemikali taka zenyeMadhara.
Imeandaliwana:
Prof. S.V. Manyele
MKEMIA MKUU WA SERIKALI NA MSAJILI WA KEMIKALI ZA VIWANDANI NA MAJUMBANI.


No comments:

Post a Comment