Wachezaji Haruna Chanongo (kushoto) wa Simba na Stephano Mwasika wa Ruvu Shootinga wakiwania mpira wakati timu zao zilipopambana katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo
Wachezaji Haruna Chanongo (kushoto) wa Simba na Stephano Mwasika wa Ruvu Shootinga wakiwania mpira wakati timu zao zilipopambana katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Stephano Mwasika wa Ruvu Shootinga akiudhibiti mpira huku akifuatwa na Haruna Chanongo (kushoto) wa Simba wakati timu hizo zilipopambana katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Betram Mwombeki wa Simba akimtoka Hassan Dilunga wa Ruvu Shooting katika mchezo huo.
Betram Mwombeki wa Simba akipiga mpira huku akizuiwa na Hassan Dilunga wa Ruvu Shooting katika mchezo huo.
Mashabiki wa Simba wakifuatilia mchezo kati ya timu yao hiyo na Ruvu Shooting, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Timu hizo zilitoka sare kwa kufungana bao 1-1.
Ubao wa matangazo ukionesha matokeo ya mchezo kati ya timu hizo, uwanjani hapo.
Gideon David wa Ruvu Shooting, akizuiya mpira, wakati akijaribu kuumiliki wakati wa mchezo huo. Timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1.
Gideon David wa Ruvu Shooting, akizuiya mpira, huku akifuatwa na Haruna Chanongo wa Simba katika mchezo huo.
Haruna Chanongo wa Simba, akijaribu kumtoka George Michael wa Ruvu Shooting katika mchezo huo.
George Michael wa Ruvu Shooting akijaribu kumnyang'anya mpira Haruna Chanongo wa Simba.
Makocha wa timu hizo, Abdallah Kibaden 'Mputa' (kushoto) na mwenzake, Charles Mkwassa wa Ruvu Shooting wakijadili jambo baada ya kumalizika mchezo huo kati ya timu zao hizo, Uwnaja wa Taifa na kuwagana point moja, moja.
Hapa wanaonekana kama vile wakitaniana, "leo nimekukosa kweli....., lakini mara nyingine utakoma".
Hapa wanaonekana wakiongea kuhusu hali za timu zao na kimaisha kijumla.
No comments:
Post a Comment