TANGAZO


Tuesday, October 22, 2013

Makamu wa Rais, Dk. Gahrib Bilal aongoza hafla ya kuuaga mwili wa marehemu Julius Nyaisangah

*Wengi wajitoleza kuuaga mwili wake, Viwanja vya Leaders Club

Waombolezaji: Waandishi wa Habari pamoja na watu mbalimbali, wakiwa Viwanja vya Leaders Club kwa shughuli za kuuaga mwili wa aliyekuwa mtangazaji wa Radio na Tv Abood, Julius Nyaisanga 'Uncle J Nyaisanga', jijini Dar es Salaam leo. (Picha zote na Magreth Kinabo - Maelezo na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)

Waandishi wa Habari pamoja na watu mbalimbali, wakiwa Viwanja vya Leaders Club kwa shughuli za kuuaga mwili wa aliyekuwa mtangazaji wa Radio na Tv Abood, Julius Nyaisanga 'Uncle J Nyaisanga', jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya waandishi wa habari, wakiwa Viwanja vya Leaders Club kwa shughuli za kuuaga mwili wa aliyekuwa mtangazaji wa Radio na Tv Abood, Julius Nyaisanga 'Uncle J Nyaisanga', jijini Dar es Salaam leo.
Waandishi wa Habari pamoja na watu mbalimbali, wakiwa Viwanja vya Leaders Club kwa shughuli za kuuaga mwili huo, jijini Dar es Salaam leo.
Waandishi wa Habari pamoja na watu mbalimbali, wakiwa Viwanja vya Leaders Club kwa shughuli za kuuaga mwili huo, jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya wanakamati ya shughuli za kuuaga mwili huo, wakipanga jinsi ya namna bora za kuuaga mwili uwanjani hapo. Kushoto ni Mkurugenzi wa Montage, Teddy Mapunda.
Wawakilishi wa Benki ya NMB, Josephin (kushoto) na Doris, wakiwa katika hafla hiyo, viwanjani hapo.
Mzee Makassy na John Kitime wakiwa katika hafla ya kuuaga mwili huo.
Gari lililokuwa limebeba jeneza lenye mwili wa mtangazaji mkongwe na maarufu kwa jina la Uncle J, Nyaisanga, marehemu Julius Nyaisanga, likiwasili Viwanja vya Leaders Club leo, jijini Dar es Salaam kwa shughuli za kuuaga. 
Waombolezaji wakilishusha jeneza lenye mwili wa marehemu Julius Nyaisanga, viwanjani hapo.
Waandishi na waombolezaji mbalimbali, wakilipeleka jeneza lenye mwili wa marehemu Julius Nyaisanga, pahala pake pa kufanyia shughuli za kuuaga mwili, viwanjani hapo.
Waandishi na waombolezaji mbalimbali, wakiwa wamelibeba jeneza lenye mwili huo, viwanjani hapo.
 Wafiwa wakiwa katika hafla hiyo, viwanjani hapo leo. 
Jeneza lenye mwili huo, likiwa katika sehemu yake ya kuuagia mwili wa marehemu Julius Nyaisangah.
Waandishi pamoja na waombolezaji mbalimbali wakiwa katika hafla ya kuuaga mwili huo, viwanjani hapo.
Baadhi ya waombolezaji wakiwa katika viwanja vya Leaders Club kwa ajili ya kumwaaga mtangazaji mkongwe na maarufu kwa jina la Uncle J, marehemu Julius Nyaisanga leo  jijini Dar es Salaam.
Padre Stefano Kaombwe akibariki jeneza lililobeba mwili wa  mtangazaji mkongwe na maarufu kwa jina la Uncle J, marehemu Julius Nyaisanga katika viwanja vya Leaders Club  leo  jijini Dar es Salaam.
Padre Stefano Kaombwe akibariki jeneza lililobeba mwili wa  mtangazaji mkongwe na maarufu kwa jina la Uncle J, marehemu Julius Nyaisanga katika viwanja vya Leaders Club  leo  jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais Dk. Mohammed Bilal akitia saini kwenye kitabu cha  maombelezo cha mtangazaji mkongwe na maarufu kwa jina la Uncle J, marehemu Julius Nyaisanga   katika viwanja vya  Leaders Club  leo  jijini Dares Salaam.
Makamu wa Rais Dk. Mohammed Bilal akiwa na viongozi wengine  wakati  wa ibada  ya kumwaga mtangazaji mkongwe na maarufu kwa jina la Uncle J, marehemu Julius Nyaisanga  katika viwanja vya  Leadears Club  leo  jijini Dares Salaam.
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Absalom Kibanda  akizungumza jambo wakati wa kuuaga mwili wa  mtangazaji mkongwe na maarufu kwa jina la Uncle J, marehemu Julius Nyaisanga katika viwanja vya Leaders Club  leo  jijini Dares Salaam.
Mwenyekiti wa Chama cha Wamiliki wa Vyombo vya Habari  Tanzania  Reginald Mengi akitoa neno la kumkumbuka   mtangazaji mkongwe na maarufu kwa jina la Uncle J, marehemu Julius Nyaisanga katika viwanja vya  Leaders Club leo jijini Dares Salaam.
Baadhi ya waombolezaji wakiwa katika viwanja vya Leaders Club kwa ajili ya kumwaaga
mtangazaji mkongwe na maarufu kwa jina la Uncle J, marehemu Julius Nyaisanga leo  jijini Dares Salaam.
Makamu wa Rais Dk. Mohammed Bilal akitoa  heshima za mwisho kwa mwili  wa mtangazaji
mkongwe na maarufu kwa jina la Uncle J, marehemu Julius Nyaisanga katika viwanja vya  Leadears Club  leo  jijini Dares Salaam.
Makamu wa Rais Dk. Mohammed Bilal akitoa  heshima za mwisho kwa mwili  wa mtangazaji
mkongwe na maarufu kwa jina la Uncle J, marehemu Julius Nyaisanga katika viwanja vya  Leadears Club  leo  jijini Dares Salaam.
Mkuu wa Wilaya ya Bahi Betty Mkwasa akiwapa pole baadhi ya  familia ,ndugu na  jamaa  wa mtangazaji mkongwe na maarufu kwa jina la Uncle J, marehemu Julius Nyaisanga  katika viwanja vya  Leaders Club  leo  jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe akitoa  heshima  za mwisho  kwa
mwili wa  mtangazaji mkongwe na maarufu kwa jina la Uncle J, marehemu Julius Nyaisanga katika vya  Leaders Club leo  jijini Dares Salaam.
Mkuu wa Wilaya ya Bahi Betty Mkwasa akiwapa pole baadhi ya  familia ,ndugu na  jamaa  wa mtangazaji mkongwe na maarufu kwa jina la Uncle J, marehemu Julius Nyaisanga  katika viwanja vya  Leaders Club  leo  jijini Dar es Salaam.
Baadhi wafanyakazi wenzake wakati mtangazaji mkongwe na maarufu kwa jina la Uncle J, marehemu Julius Nyaisanga akifanya kazi  Redio Tanzania (RTD), Aloysia Maneno (aliyevaa gauni (jekundu ,ambaye marehemu alimwachia kipindi cha misakato ) na Jane Mahile aliyevaa (tisheti)  awakilia kwa uchungu wakati wa kuuaga  mwili huo   katika viwanja vya Leaders Club  leo  jijini Dares Salaam.

No comments:

Post a Comment