TANGAZO


Wednesday, October 2, 2013

CRDB yazoa Tuzo za Waajiri Bora katika kuwasilisha michango ya Wafanyakazi

Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa akimkabidhi tuzo ya jumla Mkurugenzi wa Rasirimali Watu wa Benki ya CRDB, Dorah Ngaliga baada ya kuwa washindi wa jumla kwa uwakilishaji wa mapema michango ya wafanyakazi wake katika Mfuko wa Pensheni wa Mashirika ya Umma (PPF), wakati wa mkutano wa 23 wa wanachama wa PPF uliofanyika leo katika Hoteli ya Kimataifa wa AICC jijini Arusha.
 Mkurugenzi wa Rasirimali Watu wa Benki ya CRDB, Dorah Ngaliga akiwa na tuzo zilizotolewa na Mfuko wa Pensheni wa Mashirika ya Umma (PPF),kwa benki hiyo baada ya kuwa washindi wa jumla kwa uwakilishi wa mapema wa michango ya ya wafanyakazi wao katika mfuko wa PPF, wakati wa mkutano wa 23 wa wanachama wa PPF uliofanyika leo katika Hoteli ya Kimataifa wa AICC jijini Arusha .
Mkurugenzi wa Rasirimali Watu wa Benki ya CRDB, Dorah Ngaliga (katikati) akiwa na maofisa benki ya CRDB baada kukabidhi tuzo ya taasisi za fedha zilizowakilisha mapema michango ya wafanyakazi wake katika Mfuko wa Pensheni wa Mashirika ya Umma (PPF), wakati wa mkutano wa 23 wa wanachama wa PPF uliofanyika katika Hoteli ya Kimataifa wa AICC jijini Arusha. Kushoto ni Meneja Rasirimali Watu, Glory Mwanyika na Ofisa Rasirimali Watu, Prisca Massawe. 
Mkurugenzi wa Rasirimali Watu wa Benki ya CRDB, Dorah Ngaliga akizungumza na waandishi wa habari.
Picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment