Mkurugenzi wa Ununuzi na Ushauri
wa Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA), Yoswam Nyongera
akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mchago wa wakala hao katika kupunguza
gharama za ununuzi serikalini wakati wa mkutano na waandishi wa habari jana, jijini Dar es Salaam kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari Bi. Zamaradi
Kawawa. (Picha zote na Frank Mvungi, Maelezo)
1.
UTANGULIZI
Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA) ulianzishwa kwa mujibu wa
Sheria ya Wakala wa Serikali sura ya 245 kama ilivyorekebishwa mwaka 2002 na
kutangazwa katika Gazeti la Serikali Na.235 la tarehe 7 Desemba, 2007. Wakala
ulizinduliwa rasmi tarehe 16, Juni 2008. GPSA ina ofisi katika kila mkoa
Tanzania bara na iko chini ya Wizara ya fedha.
Kuanzishwa
kwa GPSA ni matokeo ya Program za uboreshaji wa utendaji katika sekta ya umma (Public
Service Reforms Program-PSRP) ambapo katika maboresho hayo iliyokuwa Bohari kuu
ya Serikali ilifutwa na baadhi ya majukumu yake yalichukuliwa na GPSA.
2.
MAJUKUMU
YA WAKALA
Majukumu ya Wakala kama yalivyoainishwa kwenye ‘Hati ya idhinisho Na.
235 ya tarehe 7 Desemba 2007 ikisomwa
kwa pamoja na marekebisho yake kupitia Gazeti la Serikali Na. 133 la tarehe13 Aprili 2012; ni pamoja
na:
(i)
Kuuza
vifaa na mafuta ya magari kwa Taasisi za
Serikali na mashirika yasiyo ya kiserikali,
(ii)
Kuandaa
taratibu za ununuzi wa vifaa na huduma mtambuka kwa ajili ya wizara, Idara na
Taasisi za Umma,
(iii) Kuandaa na kutunza orodha ya wauzaji vifaa na watoa
huduma mtambuka,
(iv) Kugomboa mizigo ya Serikali na Taasisi zake
kutoka bandarini, viwanja vya ndege na
mipakani na Kutoa ushauri katika maeneo ya ununuzi; ugavi na ugomboaji wa
mizigo
(v)
Kupangisha
maghala na maeneo ya wazi na
(vi) Kukodisha magari ya mizigo.
3.
GHARAMA ZA UNUNUZI KATIKA SEKTA YA
UMMA
·
Ununuzi katika
Sekta ya Umma ni eneo ambalo linatumia fedha nyingi za Serikali
·
Inakadiriwa kuwa
asilimia takribani 70-80 ya bajeti ya Matumizi ya kawaida ya Serikali hutumika
katika ununuzi
·
Gharama za
ununuzi zinahusika na i) uendeshaji mchakato wa zabuni na ii) bei ya kununulia kifaa/huduma
·
Kutokana na
matumizi makubwa ya fedha katika eneo hili Serikali inao mfumo wa ununuzi wa
pamoja wa Vifaa na Huduma Mtambuka ambao unasimamiwa na GPSA na unalenga katika
kupunguza gharama za ununuzi.Mfumo huu unaziwezesha taasisi za umma kupata mahitaji yao haraka bila kuendesha
mchakato wa zabuni.
·
Mfumo huu
umegawanyika katika sehemu kuu mbili (sub-systems) ambazo ni:
3.1.1
Ununuzi, Utunzaji na Usambazaji wa Vifaa kwa ajili ya kuuza
katika Taasisi za Umma
GPSA inanunua na kutunza na kusambaza vifaa vinavyohitajika katika taasisi za umma.
Bidhaa/vifaa vinavyopatikana moja kwa moja kutoka ofisi za GPSA ni pamoja na bendera za taifa,
Vifaa vya Ofisini, Shajala, Kalenda,Vifaa vya usafi, Mafuta ya magari na
mitambo
Utaratibu wa kununua kwa pamoja
vifaa vinavyohitajika katika taasisi za umma unapunguza gharama za kuendesha
mchakato wa ununuzi unaofanywa na kila taasisi ya umma lakini pia utaratibu huu
ni mkakati (strategy) wa Serikali wa kuwa na chombo chake kinachoweza kutumika
wakati wowote kutoa huduma katika mazingira ya dharura kama vile
mafuriko,vita,migomo ya wafanyabiashara kazi maalum za serikali n.k.Bidhaa zinazopatikana
GPSA zinauzwa kwa Taasisi za umma tu.
3.1.2
Mfumo wa Ununuzi wa Pamoja wa Vifaa na Huduma
Mtambuka ambazo hazipatikani GPSA
GPSA inaandaa pia utaratibu wa ununuzi wa pamoja wa Vifaa na Huduma Mtambuka(VHM) ambazo
hazipatikani GPSA. VHM ni vile
ambavyo vinahitajika kila wakati au mahitaji yake yanajirudia katika taasisi za
umma. VHM ambazo hazipatikani GPSA zimeandaliwa mfumo maalum ambao unaziwezesha
taasisi za umma kupata mahitaji yao bila kulazimika kuendesha mchakato mzima wa
zabuni na kwa kufuata sheria.
Pale ambapo vifaa na Huduma hazipatikani GPSA au pale ambapo GPSA haiwezi kufikisha huduma zake katika
maeneo yote ambako taasisi za umma zinapatikana, mfumo huu unasaidia kufikisha
huduma kwenye maeneo yote zilipo taasisi za umma kupitia wazabuni walioteuliwa
kuuza bidhaa na huduma Mtambuka.
Kwa utaratibu huu GPSA hutangaza zabuni za VHM na kuendesha
mchakato wa zabuni hadi kutoa mikataba maalum kwa waombaji waliotimiza masharti
ya zabuni.Mikataba maalum inayotolewa na GPSA hutumiwa na Taasisi nunuzi
kuagiza VHM.
4
MAFANIKIO KATIKA KUPUNGUZA GHARAMA ZA UNUNUZI KWA SERIKALI
GPSA katika kusimamia na kuendesha mfumo wa ununuzi wa pamoja imeweza
kuuza vifaa na mafuta katika taasisi za umma,kuandaa mikataba maalum kwa VHM ambazo hazipatikani GPSA,ambapo katika kipindi
cha miaka mitatu iliyopita thamani ya vifaa na mafuta yaliyouzwa ni kama
ifuatavyo:-
S/N
|
MWAKA
|
THAMANI YA VIFAA NA MAFUTA VILIVYOUZWA
|
1
|
2010/2011
|
25.9
bn
|
2
|
2011/2012
|
31.5
bn
|
3
|
2012/2013
|
31.2 bn
|
Aidha tangu
kuanzishwa kwa mfumo wa ununuzi wa pamoja wa VHM mwaka 2009/2010, idadi ya Taasisi
za umma na thamani ya ununuzi wa VHM kupitia mikataba maalum (Framework agreements) ni kama inavyoonekana hapa chini:-
NA
|
MWAKA
|
IDADI YA TAASISI ZILIZOTUMIA MIKATABA
|
THAMANI YA UNUNUZI
|
1
|
2009/2010
|
47
|
1.9bn
|
2
|
2010/2011
|
102
|
24.7bn
|
3
|
2011/2012
|
150
|
28.5bn
|
4
|
2012/2013
|
60
|
5.4 bn-(Bado taarifa zinakusanywa)
|
5
MIKAKATI
YA KUBORESHA UTOAJI HUDUMA NA KUPUNGUZA GHARAMA ZA UNUNUZI
·
Kuanzisha mfumo
wa ki-electronik kuendesha mchakato wa zabuni (e-tendering)
·
Kuanzisha mfumo
wa ki-electronik (smart card) kuuza
mafuta kwa magari ya Serikali na mashirika yasiyo ya kiserikali
·
Kuagiza na
kununua vifaa na mafuta kutoka kwa wazalishaji wa ndani na nje ya nchi ili kudhibiti
ubora wa bidhaa hizo kwa wakati wote na
kwa bei ya ushindani.
·
Kuongeza wigo wa
bidhaa zinazouzwa na GPSA (mfano, Consumables for Office equipment)
·
Ununuzi wa
magari ya Serikali kwa pamoja
6
FAIDA ZA KUTUMIA MFUMO WA UNUNUZI WA
PAMOJA
Faida zitokanazo na ununuzi wa pamoja ni pamoja na :-
·
Kupunguza
gharama za mchakato wa zabuni
·
Kuondoa tofauti
kubwa katika bei ya vifaa na huduma baina ya taasisi moja na nyingine;
·
Kutoa nafasi kwa
taasisi nunuzi kujihusisha zaidi na majukumu ya msingi ya taasisi husika badala
ya kutumia muda mwingi kwenye masuala ya ununuzi
·
Kupunguza muda
wa kupata vifaa kwani mara tu vinapohitajika vinaagizwa bila kuanzisha mchakato
wa zabuni
·
Kupunguza
gharama na muda wa wafanyabiashara katika
kushiriki kwenye zabuni za umma
·
Kutoa fursa sawa
kwa wafanyabiashara katika ushiriki wa zabuni pindi zinapotangazwa;
·
Zabuni
hutangazwa na mikataba maalumu hutolewa kwa kufuata maeneo (mikoa), hivyo kutoa
fursa zaidi kwa wafanyabiashara kuomba
maeneo watokayo kwa kuzingatia utaratibu uliopo;
Kiambatisho Na.1
MAENEO
YANAYOHUSU GHARAMA ZA KUENDESHA MCHAKATO WA ZABUNI
a)
Vikao vya Bodi ya zabuni kuidhinisha rasimu
ya kitabu cha zabuni
b)
Kuandaa vitabu vya zabuni
c)
Matangazo
d)
Ufunguzi wa zabuni
e)
Tathmini ya zabuni
f)
Bodi ya zabuni kuidhinisha utoaji wa
mkataba
g)
Matangazo ya matokeo ya zabuni
Inakadiriwa kuwa
gharama ya kuendesha mchakato wa zabuni moja ni takribani sh.millioni kumi hadi
kumi na tano ,Kila taasisi ikiendesha mchakato wa zabuni ni lazima itaingia gharama zinazotokana na kazi zilizotajwa hapo juu.
Gharama hizi zinapungua mchakato wa zabuni unapoendeshwa na taasisi moja
kwa niaba ya taasisi zote.
kiambatisho Na.2
ORODHA YA VIFAA VINAVYOPATIKANA GPSA
S/N
|
ITEM
|
DESCRIPTION
|
UNIT
|
1
|
0555
|
Soft
Brooms
|
Ea
|
2
|
0701
|
Keyrings
|
Ea
|
3
|
0702
|
Souvernirs
|
Ea
|
4
|
0703
|
Brass
Lapel Pin - Gold
|
Ea
|
5
|
0704
|
Hand
Flags
|
Ea
|
6
|
0705
|
National
Flag Car - Normal
|
Ea
|
7
|
0706
|
National
Flag Table - Normal
|
Ea
|
8
|
0707
|
Brass
Lapel Pins
|
Ea
|
9
|
0708
|
Natioanl
Flag Table
|
Ea
|
10
|
0709
|
Brass
Lapel Pin - English
|
Ea
|
11
|
0709
|
Brass
Lapel Pin - Swahili
|
Ea
|
12
|
0709 B
|
Brass
Lapel Pin - Presidential
|
Ea
|
13
|
0710
|
National
Flag Car
|
Ea
|
14
|
0711
|
National
Flag Boat
|
Ea
|
15
|
0712
|
National
Flag Pole
|
Ea
|
16
|
0715
|
Presidential
Car Flag
|
Ea
|
17
|
0715
|
Presidential
Car Flag
|
Ea
|
18
|
0716
|
Presidential
Flag - Pole
|
Ea
|
19
|
0717
|
Natioanal
Flag - Large
|
Ea
|
20
|
0721
|
Tarpulins
Complete
|
Ea
|
CLASS THREE
|
|||
S/N
|
ITEM No.
|
DESCRIPTION
|
UNIT
|
1
|
4849
|
Roofing
Nail
|
Ea
|
CLASS FOUR
|
|||
S/N
|
ITEM No.
|
DESCRIPTION
|
UNIT
|
1
|
189
|
Fluorescent
Fitting
|
Ea
|
2
|
5003
|
Electric
Cooker
|
Ea
|
CLASS SIX
|
|||
S/N
|
ITEM No.
|
DESCRIPTION
|
UNIT
|
1
|
6002
|
Office glue
|
Bot
|
2
|
6007
|
CRIN books
|
Ea
|
3
|
6008
|
Carbonized CRIN books
|
Ea
|
4
|
6016
|
Counter Book 2Quire
|
Ea
|
5
|
6017
|
Counter Book 4Quire
|
Ea
|
6
|
6018
|
Dispatch Book
|
Ea
|
7
|
6019
|
Note book spiral
|
Ea
|
8
|
6022
|
Writing Pad
|
Pad
|
9
|
6023
|
Sticker Paper
|
Pad
|
10
|
6026
|
Draft Pad
|
Pad
|
11
|
6035
|
Visitors Book
|
Ea
|
12
|
6036
|
Log Books
|
Ea
|
13
|
6060
|
Calender
|
Ea
|
14
|
6060
|
Calender
|
Ea
|
15
|
6064
|
Diaries
|
Ea
|
16
|
6064
|
Diaries 2013
|
Ea
|
17
|
6091
|
Paper Clips
|
Box
|
18
|
6133
|
Duplicating Ink
|
Tube
|
19
|
6152
|
Envelop Small size
|
Pkt
|
20
|
6153
|
Envelopes Q Size
|
Pkt
|
21
|
6153
|
Envelopes Small Size
|
Pkt
|
22
|
6158
|
Envelopes M/Size
|
Pkt
|
23
|
6160
|
Envelopes L/Size
|
Pkt
|
24
|
6192
|
File Cover General
|
Pkt
|
25
|
6199
|
File Liver Arch
|
Ea
|
26
|
6203
|
Box File
|
Ea
|
27
|
6207
|
File Cover Confidential
|
Pkt
|
28
|
6281
|
Photocopy paper
|
Rm
|
29
|
6294
|
Carbon Paper Blue
|
Ea
|
30
|
6296
|
Duplicating Paper
|
Ream
|
31
|
6320
|
Minute sheet
|
Ea
|
32
|
6327
|
Typing Paper
|
Ream
|
33
|
6328
|
Carbon paper Red
|
Ea
|
34
|
6375
|
Ball Pen
|
Doz
|
35
|
6400
|
Office Pins
|
Ea
|
36
|
6410
|
Punching Machine 1 hole
|
Ea
|
37
|
6411
|
Punching Machine 2 holes
|
Ea
|
38
|
6415
|
Typewriter
|
Ea
|
39
|
6427
|
Ribbon for Typewriter
|
Ea
|
40
|
6447
|
Staple Pins
|
Pkt
|
41
|
6581
|
Green
Tags
|
Ea
|
42
|
6648
|
Dustless Chalk Red
|
Ea
|
43
|
6649
|
Spiral Note Book A4
|
Ea
|
44
|
6650
|
Spiral Note Book 100pg
|
Ea
|
45
|
6651
|
Counter Book 1Quire
|
Ea
|
46
|
6652
|
Counter
Book Q3
|
Ea
|
47
|
6653
|
Constitution-Kiswahili
|
Ea
|
48
|
6654
|
Constitution -English
|
Ea
|
CLASS
50
S/N
|
ITEM No.
|
DESCRIPTION
|
UNIT
|
1
|
0014
|
Diesel
|
Ltr
|
2
|
0022
|
Motor Petrol
|
Ltr
|
Kiambatisho
Na.3
ORODHA YA MAKUNDI YA VIFAA NA HUDUMA MTAMBUKA
Na.
|
KUNDI
|
1.
|
Stationery and Office Supplies
|
2.
|
Office Equipment & Consumables
|
3.
|
Furniture and Fittings
|
4.
|
Cleaning Materials and Supplies
|
5.
|
Motor vehicle Accessories
|
6.
|
Food and Beverages
|
7.
|
Uniform, Beddings, Sports Gears and Textile
Materials
|
8.
|
Laboratory Supplies
|
9.
|
Kitchen Appliances
|
10.
|
Building Materials, Machinery and Hardware
|
11.
|
Fire wood
|
12.
|
Fuels and Lubricants
|
13.
|
Textbooks for schools and Teaching Colleges
|
14.
|
Catering services
|
15.
|
Conference and Related Services
|
16.
|
Cleaning services
|
17.
|
Fumigation services
|
18.
|
Security services
|
19.
|
Air Travel and Hotel Reservation services
|
20.
|
Transport and Handling Services
|
21.
|
Service and Maintenance of Office Equipment
|
22.
|
Service and Maintenance of Fire Fighting
Equipment
|
23.
|
Grinding and Milling Services
|
24.
|
Service and Maintenance of Elevators
|
25.
|
Service and Maintenance of Fire Security System
|
26.
|
Hiring Photocopying Services Using Vendor
management Inventory System
|
27.
|
Clearing and Forwarding Services
|
28.
|
Internet Services
|
29.
|
Documentary Services
|
30.
|
Courier Services
|
31.
|
Insurance Brokage Services
|
Dear Customers,
ReplyDeleteExpert funding group provides loans to Individuals and companies especially Individuals who have business plans and Ideas but find it difficult to start due to low or lack of starting capital.
Business ideas with low investment and high profit you can start.
Supermarket and fast food restaurant stores.
Clothing and jewelry Sector etc.
Get an Instant Short and long term loan to Set up your own business and enjoy the benefits of being your own boss.
with an affordable 2% interest rate
Flexible repayment 1 to 15 years duration
Contact us via email: franchisecapitalcorps@gmail.com