Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua pazia kama isahara ya kuweka jiwe la Msingi madrasatul Tarblat Islamia iliyopo Kidoti Jimbo la Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja leo. (Picha zote na Ramadhan Othman, Ikulu)
Baadhi ya Wanafunzi wa madrasatul Tarblat Islamia, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, alipozungumza nao baada ya
kuwawekea jiwe la msingi madrsa yao leo huko Kidoti Jimbo la Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, alipokuwa akizungumza na Wananchi na wanafunzi wa madrasatul Tarblat Islamia, ya Kidoti Jimbo la Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja, baada ya kuwawekea jiwe la msingi madrasa hiyo leo.



No comments:
Post a Comment