TANGAZO


Thursday, August 8, 2013

Maadhimisho ya Nane nane, mjini Mjini Dodoma yafana


Mkuu wa Wilaya ya Chamwino, Fatma Ally akipokea Kombe la ushindi wa jumla kwa Halimashauri zote, zilizoshiriki maonesho ya Wakulima maarufu kwa jina la 'Nanenane', toka kwa Makamu wa Pili wa Rais wa SMZ, Balozi Seif Ali Idd, yaliyofikia kilele chake jana, Nzuguni Dodoma yalikofanyika kitaifa.
Mkuu wa Wilaya ya Chamwino, Fatma Ally akilinyanyua kombe la Kombe la ushindi wa jumla kwa Halimashauri zote zilizoshiriki maonyesho ya wakulima maarufu kwa jina la nanenaene, toka kwa Makamu wa Pili wa Rais wa SMZ Barozi Seifu Ali Idd yaliyofikia kilele chaka jana Zuguni, mjini Dodoma yalikofanyika kitaifa.
Kamishna wa Magereza akipokea kombe la ushindi wa jumla kwa taaasisiya magereza iliyoupata katika maonyesho ya Wakulima nanenane yaliyofanyika Dodoma. (Picha zote na John Banda)
Ofisa wa wanyapoli (TANAPA), akiwapa wanafunzi waliotembelea mabanda ya Maliasili na Utalii kitabu chenye maelezo kuhusu wanyamapoli katika maonyesho ya wakulima  Nanenane yalihitimishwa jana tarehe 7, 8, 2013 kutokana na sherehe hizo kuingiliana na Sikuku ya Idd el Fitri.

No comments:

Post a Comment