TANGAZO


Wednesday, July 24, 2013

Rais wa Zanzibar, Dk. Shein apata mapokezi makubwa Bukoba

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk. Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Bukoba Fabian
Masawe, alipowasili katika kiwanja cha Ndege cha Bukoba leo
mchana,akiwa katika Mkoa huo Rais atashiriki katika maadhimisho ya
siku ya  Mashujaa,ambapo Kitaifa yatafanyika  kesho Mkoani
Bukoba.[Picha na Ramadhan Othman,Mkoani Bukoba.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,
Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Bukoba, wakati alipowasili katika kiwanja cha Ndege cha Bukoba leo mchana, ambapo atashiriki katika  Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa, ambapo Kitaifa yatakuwa  kesho katika Mkoa huo. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,
Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na viongozi mbalimbali wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Bokoba mara baada ya kuwasili katika kiwanja cha Ndege cha Bukoba leo mchana, ambapo atashiriki katika Maadhimisho ya Siku ya
Mashujaa, ambapo Kitaifa yatakuwa  kesho katika Mkoa huo. (Picha zote na Ramadhan Othman, mkoani Bukoba)

No comments:

Post a Comment