TANGAZO


Tuesday, July 23, 2013

Rais Kikwete akutana na Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza, Tany Blair na mkewe Ikulu jijini Dar es Salaam leo 



Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza, Tony Blair na mkewe, Cherrie Blair, alipokutana nao, Ikulu jijini Dar es Salaam leo Julai 23, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na wageni wake, Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza, Tony Blair na mkewe, Cherrie Blair, alipokutana nao, Ikulu jijini Dar es Salaam leo Julai 23, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na wageni wake, Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza, Tony Blair na mkewe, Cherrie Blair, alipokutana nao, Ikulu jijini Dar es Salaam leo Julai 23, 2013. (Picha zote na Ikulu)

No comments:

Post a Comment