TANGAZO


Saturday, July 27, 2013

Rais Jakaya Kikwete akiwa ziarani Ngara, mkoani Kagera

Rais Kikwete akihutubia wananchi kijiji cha Rulenge, Ngara mkoani Kagera katika mkutano wake alioufanya kijijini hapo leo. (Picha zote na Ikulu)
Rais Kikwete akihutubia umati wa wananchi wa Ngara, wakati wa ziara yake mjini humo leo.
Rais Kikwete akihutubia mkutano wa hadhara mjini Ngara.
Rais Kikwete akihutubia wananchi wa Ngara, wakati wa ziara yake, mkoni Kagera leo. 
Rais Kikwete akiwasalimia wananchi wa Rulenge, mkoani Kagera, mara baada ya kuwahutubia leo.
Rais Kikwete akiwasilimia wananchi wa Ngara, mkoani Kagera wakati wa ziara yake leo, mjini humo.

No comments:

Post a Comment