TANGAZO


Tuesday, July 23, 2013

Msafara wa mazishi ya wanajeshi wapata ajali Zanzibar



Picha mbali mbali za ajali ya gari iliyokua katika msafara wa maziko ya wanajeshi waliouawa Darfur iliyotokea Mwanakwerekwe sokoni umbali wa mita 300 kutoka Makaburi ya Mwanakwerekwe ambapo ndiko walipozikwa Wanajeshi hao.(Picha zote na Haroub Hussein).

Mmoja wa majeruhi wa ajali hiyo akisaidiwa kuondolewa katika sehemu iliyotokea ajali hiyo.
Wanajeshi wakiwaondoa waliopata ajali hiyo na kujeruhiwa.
Mmoja wa watu waliopata ajali akiondolewa sehemu iliyotokea ajili hiyo.


Hili ndilo gari lililopata ajali wakati wa msafara wa kwenda kuwazika wanajeshi 2 wa Zanzibar, waliofariki na wenzao 5 wa Bara, Darful nchini Sudan, wakati wakilinda amani nchini humo.
Wananchi wakiliangalia gari lililopata ajali.

No comments:

Post a Comment