TANGAZO


Tuesday, July 23, 2013

Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya na mpango wake wa kupeleka Madaktari bingwa mikoani


 Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Raphael Mwamoto akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Idara Habari Maelezo Dar es Salaam leo asubuhi kuhusu mpango huo.
 Ofisa Mwandamizi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Dk. Daud Bunyanyiga, akikichangia kutoa maelezo kuhusu mfuko huo.
  Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Raphael Mwamoto akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Idara Habari Maelezo Dar es Salaam leo asubuhi kuhusu mpango huo. Kushoto ni  Ofisa Mwandamizi wa mfuko huo, Dk. Daud Bunyanyiga.
 Ofisa Mwandamizi wa mfuko huo, Dk. Daud Bunyanyiga (kushoto), akichangia kutoa maelezo kwenye mkutano huo. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi, Idara ya Habari, Zamaradi Kawawa na 
  Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Raphael Mwamoto. (Picha na www.mwaibale.blogspot.com)
 Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Raphael Mwamoto (katikati), akizungumza katika mkutano huo. Kushoto ni Ofisa Mwandamizi wa mfuko huo, Dk. Daud Bunyanyiga na Mkurugenzi Msaidizi, Idara ya Habari, Zamaradi Kawawa.
Wanahabari wakiwa kwenye mkutano huo.

No comments:

Post a Comment