TANGAZO


Saturday, July 20, 2013

Balozi Mulamula awasilisha hati za utambulisho kwa Rais Barack Obama, apokelewa kwa shangwe baada ya kukabidhi hati hizo


Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Leberata Mulamula akiwa na Rais wa Marekan Barack Obama mara baada ya kukabidhi hati za utambulisho Alhamisi Julai 18, 2013 katika Ikulu ya Marekani "White house" na kisha kufuatiwa na tafrija ya kumpongeza iliyofanyika katika ubalozi wa Tanzania nchini Marekani. (Picha kwa hisani ya Swahili Tv)

No comments:

Post a Comment