Wakala wa Kampuni ya Vodacom akitoa elimu kwa mkazi wa Mbagala Charambe jijini Dar es Salaam leo, jinsi ya kujiunga na huduma ya Cheka nao ambayo inawawezesha wateja wa mtandao huo kupiga simu kwenda mitandao mingine na kuweza kujishindia fedha taslim shilingi milioni 100.
Wakala wa kampuni ya Vodacom akitoa elimu kwa wafanyabiashara wa soko la Mbagala Charambe, jijini leo, Jinsi ya kujiunga na huduma ya Cheka Nao ambayo inawawezesha wateja kupiga simu kwenda mitandao mingine kwa bei nafuu na kuweze kujishindia shilingi milioni 100.
Wakala wa Kampuni ya simu ya Vodacom akitoa elimu kwa wanafunzi juu ya manufaa ya huduma ya Cheka Nao ambayo inawawezesha wateja kupiga simu kwenda mitandao mingine kwa sekunde na kupata nafasi ya kujishindia shilingi milioni 100, wakati wa kuwaelimisha wananchi, wakazi wa Mbagala Charambe kuhusu huduma hizo jijini leo.
Wakala wa kampuni ya Vodacom akitoa elimu kwa mkazi wa Mbagala Charambe, jijini leo, jinsi ya kujiunga na huduma ya Cheka nao ambayo inawawezesha wateja wa mtandao huo kupiga simu kwenda mitandao mingine na kuweza kujishindia fedha taslim shilingi milioni 100. (Picha zote na Mpiagpicha wetu)
No comments:
Post a Comment