TANGAZO

Thursday, June 6, 2013

Tigo, Clouds wadhamini mashindano ya Mashua

Ofisa Michezo Mwandamizi wa Baraza la Michezo la Taifa 
(BMT), John Chalukulu, akizungumza na waandishi wa habari, 
Dar es Salaam leo, kuhusu mashindano ya Mashua 
yatakayofanyika Juni 9, jijini Dar es Salaam. Mashindano hayo, 
yamedhaminiwa na Kampuni za Simu za mkononi ya Tigo, 
kupitia huduma yake ya Tigo Pesa na Clouds FM. Kulia ni 
mmoja wa wanachama wa Chama cha Mashua (TSAA), 
ambaye ni bingwa wa mashindano hayo, Mwambao Jumbe, 
ambaye atashiriki mashindano hayo, Ofisa Masoko wa Clouds 
FM, Simalenga Simon (wa pili kulia), Meneja Chapa wa Tigo, 
William Mpinga na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha 
Mashua (TSAA), Philimon Nassari. (Picha zote na Kassim 
Mbarouk wa bayana.blogspot)

Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa katika mkutano huo, kuhusu mashindano ya mashua yatakayofanyika kwenye Bahari ya Msasani Bay, jijini Dar es Salaam Juni 9, mwaka huu.
Maofisa wa Kampuni ya Tigo wakiwa katika mkutano huo jijini leo.
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mashua (TSAA), Philimon 
Nassari. akiongea na waandishi wa habari, kuhusu 
mashindano ya mashua yaliyoandaliwa na chama hicho, 
ambayo yamedhaminiwa na Makampuni ya Tigo na Clouds 
FM, Dar es Salaam leo. Mashindano hayo yatafanyika Msasani 
Bay, jijini Dar es Salaam Juni 9, mwaka huu. Kushoto ni 
Meneja Chapa wa Tigo, William Mpinga na kulia ni Ofisa 
Michezo Mwandamizi wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), 
John Chalukulu. 

Ofisa Masoko wa Clouds FM, Simalenga Simon (kulia), 
akiongea na waandishi wa habari, kuhusu mashindano ya 
mashua yaliyoandaliwa na Chama cha Mashua Tanzania 
(TSAA), ambayo yamedhaminiwa na Makampuni ya Tigo na 
Clouds FM, Dar es Salaam leo. Mashindano hayo, yatafanyika 
Msasani Bay, jijini Dar es Salaam Juni 9, mwaka huu. Kushoto 
ni Meneja Chapa wa Tigo, William Mpinga, Makamu 
Mwenyekiti wa Chama cha Mashua (TSAA), Philimon Nassari 
(wa pili) na wa pili kulia ni Ofisa Michezo Mwandamizi wa 
Baraza la Michezo la Taifa (BMT), John Chalukulu.

Baadhi ya waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari wakiwa katika hafla hiyo wakiandika habari hizo.
Ofisa Masoko wa Clouds FM, Simalenga Simon (kulia), 
akisisitiza jambo wakati alipokuwa akiongea na waandishi wa 
habari, kuhusu mashindano ya mashua yaliyoandaliwa na 
Chama cha Mashua Tanzania (TSAA), ambayo 
yamedhaminiwa na Makampuni ya Tigo na Clouds FM, Dar es 
Salaam leo. Mashindano hayo, yatafanyika Msasani Bay, jijini 
Dar es Salaam Juni 9, mwaka huu. Kushoto ni Makamu 
Mwenyekiti wa Chama cha Mashua (TSAA), Philimon Nassari 
na katikati ni Ofisa Michezo Mwandamizi wa Baraza la Michezo 
la Taifa (BMT), John Chalukulu. 

Ofisa Masoko wa Clouds FM, Simalenga Simon (kulia), 
akiongea na waandishi wa habari, kuhusu mashindano ya 
mashua yaliyoandaliwa na Chama cha Mashua Tanzania 
(TSAA), ambayo yamedhaminiwa na Makampuni ya Tigo na 
Clouds FM, Dar es Salaam leo. Mashindano hayo, yatafanyika 
Msasani Bay, jijini Dar es Salaam Juni 9, mwaka huu. Kushoto 
ni Meneja Chapa wa Tigo, William Mpinga, Makamu 
Mwenyekiti wa Chama cha Mashua (TSAA), Philimon Nassari 
(wa pili) na Ofisa Michezo Mwandamizi wa Baraza la Michezo 
la Taifa (BMT), John Chalukulu.

Mmoja wa wanachama wa Chama cha Mashua Tanzania, 
ambaye anaongoza kwa ubora nchini, Mwambao Jumbe 
akiongea na waandishi wa habari kuhusu ushiriki wake katika 
mashindano ya mashua, ambayo yamedhaminiwa na 
Makampuni ya Tigo, kupitia huduma yake ya Tigo Pesa na 
Clouds FM, Dar es Salaam. Mashindano hayo yatafanyika 
Msasani Bay, jijini Dar es Salaam Juni 9, mwaka huu. Kushoto 
ni Meneja Chapa wa Tigo, William Mpinga.

mashindano ya mashua, ambayo yamedhaminiwa na Makampuni ya Tigo, kupitia huduma yake ya Tigo Pesa na 
Clouds FM, Dar es Salaam. Mashindano hayo yatafanyika 
Msasani Bay, jijini Dar es Salaam Juni 9, mwaka huu. Kushoto 
ni Meneja Chapa wa Tigo, William Mpinga.

Meneja Chapa wa Tigo, William Mpinga, akiongea na 
waandishi wa habari kuhusu mashindano ya mashua 
yaliyoandaliwa na chama cha Mashua Tanzania (TSAA), 
ambayo yamedhaminiwa na Makampuni ya Tigo na Clouds 
FM, Dar es Salaam. Mashindano hayo yatafanyika Msasani 
Bay, jijini Dar es Salaam Juni 9, mwaka huu. Kushoto ni Ofisa 
Masoko wa Clouds FM, Simalenga Simon.

Kaimu Mwenyekiti wa Chama cha Mashua Tanzania (TSAA), 
Gudran Leirvaag, akiongea na waandishi wa habari kuhusu 
mashindano ya mashua yaliyoandaliwa na chama hicho 
ambayo yamedhaminiwa na Makampuni ya Tigo na Clouds 
FM, Dar es Salaam leo. Mashindano hayo yatafanyika 
Msasani Bay, jijini Dar es Salaam Juni 9, mwaka huu jijini. 
Wa pili kushoto ni Meneja Chapa wa Tigo, William Mpinga.

Ofisa Michezo Mwandamizi wa Baraza la Michezo la Taifa 
(BMT), John Chalukulu, akizungumza na waandishi wa habari, 
Dar es Salaam leo, kuhusu mashindano ya Mashua 
yatakayofanyika Juni 9, jijini Dar es Salaam. Mashindano hayo, 
yamedhaminiwa na Kampuni za Simu za mkononi ya Tigo, 
kupitia huduma yake ya Tigo Pesa na Clouds FM. Kulia ni 
Ofisa Masoko wa Clouds FM, Simalenga Simon, Makamu 
Mwenyekiti wa Chama cha Mashua (TSAA), Philimon Nassari
(wa kwanza kushoto) na wa pili ni Meneja Chapa wa Tigo, 
William Mpinga.

No comments:

Post a Comment