TANGAZO


Sunday, June 2, 2013

Rais wa Zanzibar atembelea Kisiwa cha GULANGYU ISLAND

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akipata maelezo kutoka kwa mtoa maelezo katika nyumba ya muziki wa Ganon, Faing Xi Chi, wakati alipotembelea Nyumba ya Makumbusho ya Muziki  huo, huko kisiwa cha Gulangyu Island leo, akiwa katika ziara ya Kiserikali nchini China na ujumbe wake. (Picha zote na Ramadhan Othman, Xiamen China)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na ujumbe wake, wakiteremka ngazi katika Bandari ya ufukwe wa Kisiwa cha Gulangyu, baada ya kuitembelea Nyumba ya Makumbusho ya Muziki  Garnon kisiwani humo leo, akiwa katika ziara ya Kiserikali nchini China na ujumbe wake. 

No comments:

Post a Comment