Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Msanii wa taarabu Khadija Kopa nyumbani kwake, mjini Bagamoyo leo, kufuatia kifo cha Mumewe, marehemu Jaffari Ali Yusuf, aliyefariki na kuzikwa wiki iliyopita. (Picha zote na Freddy Maro)
Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiifariji familia,ndugu na jamaa wa msanii maarufu wa taarabu na mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Khadija Kopa kufuatia kifo cha mumewe, Jaffari Ali Yusuf kilichotokea wiki iliyopita na kuzikwa jijini Dar es Salaam. Wapili kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Ahmed Kipozi na kulia ni mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Ridhwani Kikwete.
No comments:
Post a Comment