Baadhi ya washiriki wa mafunzo hayo, wakimsikiliza Waziri wa Viwanda, Biashara na Masoko Dk. Abdallah Kigoda akifungua mafunzo ya siku tatu ya wanawake wajasiriamali yanayoendelea kwenye ukumbi wa Bwalo la Maafisa la Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Mgulani jijini Dar es Salaam leo.
Mwanamke mjasiriamali, ambaye pia ni msanii wa Bongo Fleva, Judith Wambura maarufu kwa jina la 'Lady JayDee' akitumbuiza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya siku tatu ya wanawake wajasiriamali yanayoendelea kwenye ukumbi wa Bwalo la Maafisa la Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Mgulani jijini Dar es Salaam leo. Mafunzo hayo yanaendeshwa Mfuko wa Fursa Sawa Kwa Wote (EOTF), chini ya Mama Anna Mkapa.

Mwenyekiti wa Mfuko wa Fursa Sawa Kwa Wote (EOTF), Mama Anna Mkapa na Waziri wa Viwanda, Biashara na Masoko Dk. Abdallah Kigoda wakiwa katika picha ya pamoja na wake wa viongozi mbalimbali pamoja na wafanyakazi wa EOTF wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya siku tatu ya wanawake wajasiriamali yanayoendelea kwenye ukumbi wa Bwalo la Maafisa la Jeshi la Kujenga Taifa (JKT),Mgulani jijini Dar es salaam.
Mwenyekiti wa Mfuko wa Fursa Sawa Kwa Wote (EOTF), Mama Anna Mkapa na Waziri wa Viwanda, Biashara na Masoko, Dk. Abdallah Kigoda wakiwa katika picha ya pamoja na wake wa viongozi mbalimbali pamoja, wafanyakazi wa EOTF na wanawake wajasiriamali wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya siku tatu ya wanawake wajasiriamali yanayoendelea kwenye ukumbi wa Bwalo la Maafisa la Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Mgulani jijini Dar es Salaam leo. (Picha zote na Magreth Kinabo - Maelezo)
No comments:
Post a Comment