TANGAZO

Sunday, June 9, 2013

Kaseba wa Tanzania amsambaratisha Mmalawi, Simwanza

Bondia Japhet Kaseba kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana masumbwi na Rasco Simwanza wa Malawi wakati wa mpambano wao wa Ubingwa wa Kimataifa wa PST mpambano uliofanyika Dar es salaam jana Kaseba alishinda kwa TKO ya raundi ya tano. (Picha zote na Super D, Mnyamwezi)
Bondia Ibrahimu Maokola (kushoto), akioneshana kazi katika mchezo huo.
Bondia Juma Fundi akioneshana umwamba na Moro Best wakati wa mpambano huo.

Bondia Juma Fundi akioneshana umwamba na Moro Best wakati wa mpambano huo. Juma fundi alishinda kwa KO raundi ya sita.
 
Bondia Japhet Kaseba kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana masumbwi na Rasco Simwanza wa Malawi wakati wa mpambano wao wa Ubingwa wa Kimataifa wa PST mpambano uliofanyika Dar es salaam jana Kaseba alishinda kwa TKO ya raundi ya tano.

Bondia Rasco Simwanza kutoka Malawi (kushoto),  akipambana na Japhet Kaseba wakati wa mpambano wao wa ubingwa wa Kimataifa wa PST kaseba alishinda raundi ya tano.
Bondia Japhet Kaseba akiwa amevishwa mkanda wake wa kimataifa wa PST.

No comments:

Post a Comment