TANGAZO


Saturday, May 25, 2013

Waziri wa Mambo ya Nje, Bernard Membe, Awasha mwenge maadhimisho ya miaka 50 ya Umoja wa Afrika (AU), jijini Dar es Salaam

Mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 50 ya Umoja wa Afrika (AU), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikianowa Kmataifa, Bernard Membe, akijiandaa kuuwasha Mwenge wa Afrika katika maadhimisho hayo, yaliyofanyika nchini, jijini Dar es Salaam leo. (Picha zote na Kassim Mbarouk wa bayana.blogspot.com)
Mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 50 ya Umoja wa Afrika (AU), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikianowa Kmataifa, Bernard Membe, akiwasha Mwenge wa Afrika katika maadhimisho hayo, yaliyofanyika nchini, jijiniDar es Salaam leo.
Mwenge ukiwa umewaka, huku Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirkiano wa Kimataifa, Bernard Membe akiukoleza na moto nje ya Wizara hiyo, zilipoanzia sherehe hizo na kisha kuhamia kwenye viwanja na ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Mkuu wa Mabalozi wa nje nchini Tanzania, Balozi wa DRC, Juma Mpango.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirkiano wa Kimataifa, Bernard Membe (kulia) na Mkuu wa Mabalozi wa nje nchini Tanzania, Balozi wa DRC, Juma Mpango, wakipiga makofi kuufurahia mwenge huo.
Mgeni rasmi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirkiano wa Kimataifa, Bernard Membe, akiunyanyua mwenge huo, baada ya kuuwasha katika maadhimisho hayo leo asubuhi jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkuu wa Mabalozi wa nje nchini Tanzania, Balozi wa DRC, Juma Mpango.
Mgeni rasmi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirkiano wa Kimataifa, Bernard Membe, akimkabidhi mwenge huo, Mkuu wa Mabalozi wa nje nchini Tanzania, Balozi wa DRC, Juma Mpango.

Mkuu wa Mabalozi wa nje nchini Tanzania, Balozi wa DRC, Juma Mpango, akiunyanyua juu mwenge huo. Kushoto ni Mkuu wa Mabalozi wa Afrika nchini, Balozi wa Angola nchini Tanzania, Profesa Ambrose Lukoki.
Mkuu wa Mabalozi wa nje nchini Tanzania, Balozi wa DRC, Juma Mpango, akimkabidhi mwenge huo, Mkuu wa Mabalozi wa Afrika nchini, Balozi wa Angola nchini Tanzania, Profesa Ambrose Lukoki.
Mkuu wa Mabalozi wa Afrika nchini, Balozi wa Angola nchini Tanzania, Profesa Ambrose Lukoki, akimkabidhi kijana Elius Projest wa Shule ya Sekondari ya Azania mwenge huo kwa ajili ya kuutembeza wakati wa maandamano ya maadhimisho hayo.

Kikosi cha Jeshi la Polisi, kikiongoza maandamano hayo katika maadhimisho ya miaka 50, jijini Dar es Salaam leo.
 Kijana Elius Projest wa Shule ya Sekondari ya Azania akiwa na mwenge huo.
Kijana Elius Projest wa Shule ya Sekondari ya Azania akiwa na mwenge huo, huku vijana kutoka Mataifa mbalimbali ya nje ya nchi wakiwa wameshikilia bendera za nchi zao, wakati wa maadhimisho hayo leo.
Mgeni rasmi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa (wa nne kushoto), akiwaongoza mabalozi wa nchi mbalimbali, wanaoziwakilisha nchi za katika maandamano hayo hayo, jijini leo.
Vijana wakiwa wameshikilia bendera za nchi nchi zao, wakiwa kwenye maandamano hayo. leo jijini Dar es Salaam. 
Vijana wakiwa wameshikilia bendera za nchi nchi zao, wakiwa kwenye maandamano hayo. leo jijini Dar es Salaam. 
Mgeni rasmi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa (wa tatu kulia), akiwaongoza mabalozi wa nchi mbalimbali, wanaoziwakilisha nchi za katika maandamano hayo hayo, jijini leo.
Kijana Elius Projest wa Shule ya Sekondari ya Azania akiwa na mwenge huo, wakati wa maandamano hayo.
Mgeni rasmi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, akiwaongoza Mabalozi wakati nyimbo za Afrika na wa Taifa wa Tanzania zikiimbwa kwenye viwanja vya Karimjee jijini leo.
Kikosi cha brass band cha Jeshi la Polisi, kikipiga nyimbo za Afrika na ya Taifa ya Tanzania, katika maadhimisho hayo, viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Vijana waliobeba bendera za nchi mbalimbali za Afrika, wakisikiliza nyimbo wa Afrika na wa Taifa wa Tanzania, viwanjani hapo.
Baadhi ya wanafunzi wa shule mbalimbali za Sekondari, wakiwa kwenye viwanja vyaKarimjee,  wakisikiliza nyimbo za Afrika na ya Taifa ya Tanzania wakati wa maadhimisho hayo.
Mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 50 ya Umoja wa Afrika, nchini Tanzania, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, akipokea mwenge wa Afrika kutoka kwa kijana Elius Projest wa Shule ya Sekondari ya Azania.
Mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 50 ya Umoja wa Afrika, nchini Tanzania, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, akipokea mwenge huo, kutoka kwa kijana huyo.
Mabalozi wa nchi za Afrika waliopo nchini, wakipokezana mwenge wa Afrika katika maadhimisho hayo, viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Mabalozi wa nchi za Afrika waliopo nchini, wakipokezana mwenge huo, katika maadhimisho hayo, viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 50 ya Umoja wa Afrika, nchini Tanzania, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (kushoto), akiwapa mwenge Mabalozi wa nchi za Afrika waliopo nchini katika maadhimisho hayo.
Balozi wa Nigeria nchini, Dk. Ishaya Majanbu (kushoto), akimpa mwenge huo, Balozi wa Namibia Japhet Isaack.
Mabalozi wa nchi mbalimbali, waliopo nchini, wakipokezana mwenge wa Umoja wa Afrika, viwanjani hapo.
Mabalozi wa nchi mbalimbali, waliopo nchini, wakipokezana mwenge wa Umoja wa Afrika, katika maadhimisho hayo.
Kikundi cha ngoma cha Jeshi la Polisi kikitumbuiza kwa ngoma za asili, viwanja vya Karimjee katika maadhimisho hayo.
Mgeni rasmi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, akiwaongoza Mabalozi kuangalia ngoma kwenye viwanja vya Karimjee katika maadhimisho hayo.
Kikundi cha utamaduni cha Jeshi la Polisi, kikitumbuiza kwa ngoma za asili katika maadhimisho hayo.
Kikundi cha utamaduni cha Jeshi la Polisi, kikitumbuiza katika maadhimisho hayo.
Kikundi cha utamaduni cha Jeshi la Polisi, kikitumbuiza katika maadhimisho hayo.
Maofisa Ubalozi na Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao wakiwa kwenye maadhimisho hayo. Kulia ni Ofisa wa Ubalozi wa Uganda nchini Tanzania, Dorothy Kalema. 
Kikundi cha matarumbeta cha Mount Usambara, kikitumbuiza kwenye maadhimisho hayo.
Vijana wa Angola wakiimba wimbo wa Afrika wakati wa ufunguzi wa kongamano la maadhimisho ya miaka 50 ya Umoja wa Afrika (AU), jijini Dar es Salaam.
Mabalozi wakisikiliza hotuba iliyokuwa ikitolewa na mgeni rasmi katika maadhimisho hayo, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe.
Mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 50 ya Umoja wa Afrika, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, akizungumza wakati akifungua kongamano la maadhimisho ya hayo, ukumbi wa Karimjee jijini, Dar es Salaam leo. Kushoto ni Mkuu wa Mabalozi wa Afrika nchini, Balozi wa Angola nchini Tanzania, Profesa Ambrose Lukoki na kulia ni Mkuu wa Mabalozi wa nje, wanaoziwakilisha nchi zao nchini, Balozi wa DRC, Juma Mpango.
Mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 50 ya Umoja wa Afrika, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, akizungumza wakati akifungua kongamano la maadhimisho ya hayo, ukumbi wa Karimjee jijini, Dar es Salaam leo. Kushoto ni Mkuu wa Mabalozi wa Afrika nchini, Balozi wa Angola nchini Tanzania, Profesa Ambrose Lukoki na kulia ni Mkuu wa Mabalozi wa nje, wanaoziwakilisha nchi zao nchini, Balozi wa DRC, Juma Mpango.
Baadhi ya Mabalozi wa nchi mbalimbali wanaoziwakilisha nchi zao nchini, wakiwa katika maadhimisho hayo, ukumbini humo wakisikiliza hotuba ya ufunguzi ya kongamano la maadhimisho hayo iliyokuwa ikitolewa na Mgeni rasmi katika maadhimisho hayo, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe.
Baadhi ya wanafunzi wa shule mbalimbali waliohudhuria maadhimisho hayo, wakisikiliza hotuba iliyokuwa ikitolewa na Mkuu wa Mabalozi wa Afrika nchini, Balozi wa Angola nchini Tanzania, Profesa Ambrose Lukoki.
Mkuu wa Mabalozi wa Afrika nchini, Balozi wa Angola nchini Tanzania, Profesa Ambrose Lukoki akizungumza wakati wa kufunga kongamano la maadhimisho hayo kwenye ukumbi huo.
Balozi wa Uganda nchini Tanzania, akiwa na Ofisa wa Ubalozi huo, Dorothy Kalema, kwenye maadhimisho hayo, Karimjee.

No comments:

Post a Comment