TANGAZO


Wednesday, May 15, 2013

Waziri Simba ahimiza umuhimu wa kuwapenda na kuwajali watoto kuelekea maadhimisho ya Siku ya Familia Duniani

Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto Sophia Simba, akisisitiza umuhimu wa wazazi kuwapenda na kuwajali watoto kama njia moja wapo ya kuimarisha familia alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari, jijini Dar es Salaam jana.




Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam kuhusu na Siku ya Familia Duniani iliyoadhimishwa leo, Mei 15, Viwanja vya Mnzi Mmoja jijini. Mwenye tai nyekundu ni Kaimu Mkurugenzi ,Idara ya Watoto Benedict Missani, Kushoto kwake ni Naibu Katibu Mkuu Anna Maembe.


Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam kuhusu na Siku ya Familia Duniani iliyoadhimishwa leo, Mei 15, Viwanja vya Mnzi Mmoja jijini. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi, Idara ya Watoto, Benedict Missani na kulia ni Naibu Katibu Mkuu Anna Maembe. (Picha zote na Beatrice Mlyansi-Maelezo)

No comments:

Post a Comment