WANANCHI WAKIWA KWENYE UWANJA WA MAANDAMANO YA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI 'MEI DEI' JIJINI MBEYA LEO. |
BAADHI YA VIKUNDI VYA BURUDANI VIKITUMBUIZA UWANJANI HAPO. |
BRASS BAND YA JESHI LA MAGEREZA KUTOKA KIWIRA IKIONGOZA MANDAMANO KUINGIA UWANJANI. |
RAIS JAKAYA KIKWETE PAMOJA NA MEZA KUU WAKIPIGA MAKOFI KUASHIRIA KUPOKEA MAANDAMANO. |
VIKUNDI MBALIMBALI VIKIINGIA UWANJANI KWA MAANDAMANO YALIYOPITA MBELE YA RAIS JAKAYA KIKWETE LEO. |
UONGOZI NA MASHABIKI WA TIMU YA JIJI LA MBEYA HAWAKUWA NYUMA. |
VIJANA WA SKAUTI, WAKIPITA MBELE YA MGENI RASMI, RAIS KIKWETE, KWA UKAKAMAVU MKUBWA. |
BAJAJI NAZO HAZIKUWA MBALI KUSHIRIKI KWENYE MAANDAMANO YA MAADHIMISHO HAYO. |
MAGARI NA BAJAJ, YAKIPITA KWA MAANDAMANO KWENYE SHEREHE HIZO, UWANJANI HAPO LEO. |
RAIS JAKAYA KIKWETE, AKIHUTUBIA MAELFU YA WANANCHI NA WAFANYAKAZI WALIOKUSANYIKA UWANJANI HAPO LEO. |
RAIS KIKWETE AKITOA TUZO KWA WAFANYAKAZI BORA BAADA YA KUMALIZA HOTUBA YAKE KATIKA MAADHIMISHO HAYO. ANAYEPOKEA ZAWADI NI MKURUGENZI WA JIJI LA MBEYA JUMA IDDI. |
MEYA WA JIJI LA MBEYA, ATANUS KAPUNGA AKIMPONGEZA MKURUGENZI WA JIJI HILO KWA KUPEWA TUZO YA MFANYAKAZI BORA KITAIFA. |
RAIS AKIONESHA GAZETI LA MFANYAKAZI, WAKATI ALIPOKUWA AKILIZINDUA KWENYE MAADHIMISHO HAYO LEO. |
RAIS KIKWETE HAKUSITA KUMKUMBUKA RAFIKI YAKE, MGAYA KWA KUMKABIDHI CHETI KWA NIABA YA TUCTA. (Picha zote na Mbeya yetu Blog) |
No comments:
Post a Comment