TANGAZO


Wednesday, May 8, 2013

Rais Jakaya Kikwete, mkewe mama Salma wawafariji waliolipuliwa na bomu jijini Arusha


Rais Kikwete alipotembelea Hospitali ya Mount Meru Mei 7, 2013, kuwafariji majeruhi wa mlipuko wa bomu katika kanisa la Olasiti, jijini humo, umlipuko uliotokea Jumapili iliyopita(Picha zote na Ikulu)
Rais Kikwete alikizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha jana, mara baada ya kuwafariji na kuwajulia hali majeruhi wa bomu hilo, Hospitali ya Mount Meru Mei 7, 2013.

Rais Kikwete alifafanua jambo wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha jana, mara baada ya kuwafariji na kuwajulia hali majeruhi wa bomu hilo, Hospitali ya Mount Meru Mei 7, 2013.

Rais Kikwete alisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mulongo Magesa
Rais Kikwete alimsalimia na kumjulia hali mmoja wa watoto walioathirika na mlipuko wa bomu hilo, hospitalini hapo. 





No comments:

Post a Comment