Waendesha mabasi nchini Somalia wamegoma kwa siku ya pili kwa
sababu wanasema inabidi wawalipe rushwa wanajeshi wa serikali na polisi katika
vituo vya ukaguzi.
Madereva wa mabasi na malori mjini Mogadishu na
miji mengine wamekataa kufanya kazi hadi swala hilo limeshughulikiwa.
Kikosi cha Umoja wa Mataifa nchini Somalia,
AMISOM, kimeingilia kati kujaribu kutatua mkwamo huo.
No comments:
Post a Comment