TANGAZO

Tuesday, May 21, 2013

Makamu wa Rais Dk. Bilal afungua mkutano wa 14 wa Baraza la Usimamizi wa Mawasiliano Afrika jijini Dar es Salaam

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake, wakati alopokuwa akifungua rasmi Mkutano wa 14 wa Baraza la usimamizi wa Mawasiliano Afrika, uliofunguliwa leo, Mei 21, 2013, Hoteli ya Double Tree, jijini Dar es Salaam. (Picha zote na OMR)

Baadhi ya washiriki wa mkutano huo, kutoka nchi za Afrika, wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, wakati alipokuwa akifungua rasmi mkutano huo wa 14 wa Baraza la Usimamizi wa Mawasiliano Afrika, uliofunguliwa leo, Mei 21, 2013, Hoteli ya Double Tree, jijini Dar es Salaam. 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake, wakati alopokuwa akifungua rasmi Mkutano wa 14 wa Baraza la usimamizi wa Mawasiliano Afrika, uliofunguliwa leo, Mei 21, 2013, Hoteli ya Double Tree, jijini Dar es Salaam. 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Profesa John Mkoma, wakati akiondoka kwenye ukumbi wa mkutano baada ya kufungu rasmi mkutano huo wa 14 wa Baraza la Usimamizi wa Mawasiliano Afrika, alioufungua leo, Mei 21, 2013, Hoteli ya Double Tree, jijini Dar es Salaam.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja ya kumbukumbu na baadhi ya washiriki wa mkutano huo, baada ya kuufungua jijini leo. 

No comments:

Post a Comment