TANGAZO


Sunday, April 7, 2013

Rais Kikwete, Shein, wahudhuria maadhimisho ya Siku ya Mashujaa kisiwani Zanzibar

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein na viongozi wengine wa juu wa Serikali za Muungano na Zanzibar, wakisoma dua wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mashujaa (Karume Day), iliyoadhimishwa Makao Makuu ya CCM Kisiwandui, mjini Zanzibar leo, April 7, 2013. (Picha zote na Ikulu)


Kiongozi wa Kanisa la Anglikana la Zanzibar, akiomba dua wakati wa maadhimisho ya Siku ya mashujaa (Karume Day), iliyofanyika Makao Makuu ya CCM, Kisiwandui Zanzibar leo, April 7, 2013.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein na viongozi wengine wa juu wa Serikali za Muungano na Zanzibar, wakisoma dua wakati wa maadhimisho ya siku hiyo leo, mjini Zanzibar.


Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhaj Alhad Mussa Salum, akitoa mawaidha wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mashujaa (Karume Day), iliyoadhimishwa Makao Makuu ya CCM, Kisiwandui mjini Zanzibar leo April 7, 2013.


Kiongozi wa Kihindu, akiomba dua wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mashujaa (Karume Day), Makao Makuu ya CCM, Kisiwandui mjini Zanzibar leo April 7, 2013.

Wake wa vionvgozi mbalimbali pamoja na Mabalozi wakiwa katika dua, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mashujaa (Karume Day), Makao Makuu ya CCM, Kisiwandui mjini Zanzibar leo April 7, 2013.

No comments:

Post a Comment