Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiwa Meza Kuu na baadhi ya viongozi, wakati alipofika kuufungua mkutano wa 18 wa siku tatu wa mwaka kuhusu Tafiti za Sera na Maendeleo wa Repoa, ulioanza leo April 3, 2013, Hoteli ya Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiwahutubia washiriki wa mkutano wakati akifungua ramsi mkutano wa siku tatu wa mwaka kuhusu Tafiti za sera na Maendeleo wa Repoa, ulioanza leo April 3, 2013, Hoteli ya Kunduchi Beach, jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa siku tatu wa mwaka kuhusu Tafiti za sera na Maendeleo wa Repoa, wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, alipokuwa akiwahutubia wakati akiufungua ramsi mkutano huo, leo April 3, 2013, Hoteli ya Kunduchi Beach, jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya viongozi wakati akiwasili kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Kunduchi Beach, kuufungua ramsi Mkutano wa 18 wa siku tatu wa mwaka kuhusu Tafiti za Sera na Maendeleo wa Repoa, ulioanza leo April 3, 2013, Hoteli ya Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, akichangia mada wakati wa Mkutano wa 18 wa Repoa wa siku tatu wa mwaka kuhusu Tafiti za Sera na Maendeleo, ulioanza leo April 3, 2013, Hoteli ya Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam. Mkutano huo umefunguliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya washiriki wa Mkutano wa 18 wa Repoa wa siku tatu wa mwaka kuhusu Tafiti za Sera na Maendeleo, baada ya kuufungua mkutano huo, ulioanza leo April 3, 2013, Hoteli ya Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Profesa Amandina Lihamba wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), mara baada ya kuufungua Mkutano wa 18 wa Repoa wa siku tatu wa mwaka kuhusu Tafiti za Sera na Maendeleo, ulioanza leo April 3, 2013, Hoteli ya Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa Mkutano wa 18 wa Repoa wa siku tatu wa mwaka kuhusu Tafiti za Sera na Maendeleo, baada ya kuufungua mkutano huo, ulioanza leo April 3, 2013, Hoteli ya Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Mkutano wa 18 wa Repoa wa siku tatu wa mwaka kuhusu Tafiti za Sera na Maendeleo, baada ya kuufungua mkutano huo, ulioanza leo April 3, 2013, Hoteli ya Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment