TANGAZO


Wednesday, April 24, 2013

Maandalizi ya mwisho mwisho ya vikosi vya Jeshi la Ulinzi na vikundi vya burudani kuelekea sherehe za maadhimisho ya Muungano

Kikosi cha Jeshi la kujenga Taifa (JKT), wanaume, kikipita kwa gwaride la mwendo wa Pole, wakati wa mazoezi ya mwishoni mwishoni kabla ya sherehe za maadhimisho ya Sikukuu ya Muungano inayoadhimishwa keshokutwa, Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. (Picha zote na Kassim Mbarouk) 

Kikosi cha Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), wanawake, kikipita kwa gwaride la mwendo wa Pole, wakati wa mazoezi ya mwishoni mwishoni kabla ya sherehe za maadhimisho ya Sikukuu ya Muungano inayoadhimishwa keshokutwa, Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.

Kikosi cha Kutuliza Khasia (FFU), wanaume, kikipita kwa gwaride la mwendo wa Pole, wakati wa mazoezi ya mwishoni mwishoni kabla ya sherehe za maadhimisho ya Sikukuu ya Muungano inayoadhimishwa keshokutwa, Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.

Kikosi cha Jeshi la Polisi, wanawake, kikipita kwa gwaride la mwendo wa Pole, wakati wa mazoezi ya mwishoni mwishoni kabla ya sherehe za maadhimisho ya Sikukuu ya Muungano inayoadhimishwa keshokutwa, Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.

Kikosi cha Jeshi la Mgereza, wanawake, kikipita kwa gwaride la mwendo wa Pole, wakati wa mazoezi ya mwishoni mwishoni kabla ya sherehe za maadhimisho ya Sikukuu ya Muungano inayoadhimishwa keshokutwa, Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment