Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi Mpya wa Uingereza, Bibi Dianna Malrose,aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi Mpya wa Uingereza, Bibi Dianna Malrose,aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifuatana na Balozi Mpya wa Uingereza Bibi Dianna Malrose,baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha jana. (Picha zote na Ramadhan Othman, Ikulu)




No comments:
Post a Comment