TANGAZO


Sunday, April 7, 2013

Azama FC, Barrack Young Controller hakuna mbabe, Azam yaendelea Kombe la Shirikisho

Wacheaji wa timu za Azam FC na Barrack Young Controller, wakisalimiana kabla ya kuanza kwa mpambano wao kuwania Kombe la Shirikisho barani Afrika, Uwanja wa Tafa, Dar es Salaam jana. (Picha zote na Kassim Mbarouk)

Kikosi cha timu za Azam FC kikipiga picha ya pamoja kabla ya kuwavaa Barrack Young Controller, katika mchezo wa kuwania Kombe la Shirikisho barani Afrika, Uwanja wa Tafa, Dar es Salaam jana.


Kikosi cha timu ya Barrack Young Controller, kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya mpambano wao na Azam FC katika mchezo wa kuwania Kombe la Shirikisho barani Afrika, Uwanja wa Tafa, Dar es Salaam jana.

Kipre Balou wa Azam FC (katikati), akijaribu kuwapiga chenga wachezaji Karleo Anderson (2) na Mark Paye wote wa Barrack Young katika mchezo huo jana.


Kipre Balou wa Azam FC (katikati), akiendeleza juhudi zake za kuwapiga chenga wachezaji Karleo Anderson (kulia) na Mark Paye wote wa Barrack Young katika mchezo huo jana.


Kipre Balou wa Azam FC akiwania mpira na Karleo Anderson wa Barrack Young katika mchezo huo.

Prince Jetoh wa Barrack Yanga akijaribu kuuondoa mpira miguuni mwa Kipre Tchetche wa Azam FC wakati wa mchezo huo, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana.


Kipre Balou wa Azam FC akiwania mpira na Karleo Anderson wa Barrack Young katika mchezo huo.



Kipre Tchetche wa Azam FC, akijaribu kupitisha mpira kwenye miguu ya Cammue Tummomie wa Barrack Young.

John Bocco wa Azam FC, akimtoka Karleo Anderson wa Barrack Young.

Kipre Tchetche wa Azam FC, akiwatoka Karleo Anderson (kushoto) na Abraham Andrews wa Barrack Young.

John Bocco (19) wa Azam FC, akiruka juu pamoja na Cammue Tummomie wa Barrack Young kuwania kuupiga kichwa mpira wa juu.

John Bocco wa Azam FC, akiwatoka Karleo Anderson  na Cammue Tummomie wote wa Barrack Young. 

Kipre Tchetche wa Azam FC, akipambana na Prince Jetoh wa Barrack Young katika mchezo huo jana.

John Bocco wa Azam FC, akiruka kiunzi cha Cammue Tummomie wa Barrack Young. 

Mashabiki wa Azam FC, wakifuatilia mchezo kati ya timu yao na Barrack Young ya Liberia.

Mashabiki wa Azam FC, wakishangilia timu yao wakati ilipopambana na Barrack Young ya Liberia.

Kipre Tchtche wa Azam FC, akiwania kujinasua toka kwa wachezaji Karleo Anderson (katikati) na Prince Jetoh wa Barrack Young katika mchezo huo.

 Kipre Tchetche wa Azam FC, akijaribu kuwatoka Karleo Anderson (katikati) na Prince Jetoh wa Barrack Young ya Liberia.

Kipre Tchetche wa Azam FC, akijaribu kuwapita Karleo Anderson (katikati) na Prince Jetoh wa Barrack Young ya Liberia.

Kipre Tchtche wa Azam FC, akiudhibiti mpira mbele ya Karleo Anderson (katikati) na Prince Jetoh wa Barrack Young katika mchezo huo.

Wachezaji wa Azma FC na wa Barrack Young ya Liberia, wakiwania kupiga kichwa mpira langoni mwa Barrack FC.

Hadi mwisho wa mchezo huo, ubao wa matangazo ulikuwa ukionesha mabao 0-0 na hivyo Azam kusonga mbele kwa jumla ya mabao 2-1, mabao yaliyofungwa katika mchezo wa mwanzo uliochezwa ulichezwa nchini Liberia.

No comments:

Post a Comment