Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa (kushoto) na Balozi wa Japan nchini, Masaki Okada, wakibadilishana hati za mkataba wa Japan kusaidia shilingi bilioni 1.28 kwa ajili ya usambazaji wa maji safi na salama katika baadhi ya Vijiji vya Mkoa wa Tabora. (Picha zote na MAELEZO - Dar es Salaam)
Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa (kushoto) na Balozi wa Japan nchini Masaki Okada (kulia) wakibadilishana hati za mkataba huo wa Japan kusaidia shilingi bilioni 1.28 Tanzania kwa ajili ya usambazaji wa maji safi na salama katika baadhi ya Vijiji vya Mkoa wa Tabora.
Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa (kushoto) na Balozi wa Japan nchini, Masaki Okada (kulia), wakibadilishana hati za mkataba huo.
Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa (kushoto) na Balozi wa Japan nchini Masaki Okada (kulia) wakibadilishana hati za mkataba huo, wa Japan kusaidia Tanzania shilingi bilioni 1.28 kwa ajili ya kusambaza maji safi na salama kwa baadhi ya Vijiji vya Mkoa wa Tabora.
Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa (kushoto) na Balozi wa Japan nchini Masaki Okada wakibadilishana hati za mkataba wa Japan kusaidia sh. bilioni 1.28 kwa ajili ya usambazaji wa maji safi na salama katika baadhi ya Vijiji vya mkoa wa Tabora.
Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa (kushoto) na Mwakilishi wa Shirika la Misaada la Japan (JICA) nchini, Yasunori Onishi, wakibadilishana hati za mkataba wa Japan kusaidia shilingi bilioni 1.28 kwa ajili ya usambazaji wa maji safi na salama katika baadhi ya vijiji vya mkoa wa Tabora.
Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa (kushoto) na Mwakilishi wa JICA nchini, Yasunori Onishi wakibadilishana hati za mkataba wa Japan kusaidia shilingi bilioni 1.28 kwa ajili ya usambazaji wa maji safi na salama katika baadhi ya Vijiji vya mkoa wa Tabora.
Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa (kushoto), akiongea na waandishi wa habari jana, jijini Dar es Salama mara baada Tanzania na Japan kusaini hati za mkataba wa Japan kusaidia shilingi bilioni 1.28 kwa ajili ya usambazaji wa maji safi na salama katika baadhi ya Vijiji vya mkoa wa Tabora. Kulia ni Balozi wa Japan nchini Masaki Okada.
No comments:
Post a Comment