TANGAZO


Wednesday, March 27, 2013

Tamasha la Watoto la Kampeni ya Kutangaza Fao la Elimu lafanyika jijini Dar es Salaam

Wanafunzi wa Shule mbalimbali za msingi wakiingia kwa maandamano, Viwanjani Temeke, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, wakati wa tamasha lao la kutangaza Kampeni ya Fao la Elimu. 
Baadhi ya wazazi na watu mbalimbali, wakiingia kwa maandamano viwanjani hapo.
Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sofia Mjema na mke wa Waziri Mkuu, Tunu Pinda wakiangalia ngoma ya utamaduni ya kikundi cha Wanne Star wakati ikitumbuiza katika tamasha hilo.
Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sofia Mjema na mke wa Waziri Mkuu, Tunu Pinda pamoja na viongozi wa taasisi mbalimbali wakipiga makofi wakati maandamano yakiingia viwanjani hapo.
 Vijana wa Shule za msingi wakiigiza, wakati wa tamasha hilo.
 Kikundi cha sanaa cha Wanne Star kikitumbuiza.
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Chang’ombe wakipiga vinanda wakati wa tamasha la watoto lililoandaliwa na Mfuko wa Pensheni wa PPF, chini ya kampeni ya kutangaza Fao la Elimu na kufanyika jijiji Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. 
 Wanafunzi wa Shule ya Msingi Tandika wakicheza ngoma ya Mganda wakati wa tamasga hilo.
Wanafunzi wakicheza ngoma ya Uringe ya wenyeji wa Pemba.
Mgenira rasmi mke wa Waziri Mkuu, Tundu Pinda (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa PPF. Wa kwanza kushoto ni Kaimu Ofisa Utamaduni Manispaa ya Temeke, Janeth Nkini, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Vupe Ligate na wa pili kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sofia Mjema. 
Mke wa Waziri Mkuu, Tunu Pinda akimkabidhi zawadi mwalimu wa Shule ya Msingi Miburani, Fausta Luoga wakati wa tamasha la watoto lililoandaliwa na Mfuko wa Pensheni wa PPF, chini ya kampeni ya kutangaza Fao la Elimu na kufanyika jijiji Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. 
Mgenira rasmi mke wa Waziri Mkuu, Tundu Pinda (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa PPF. Wa kwanza kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Vupe Ligate na wa pili kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sofia Mjema. 
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda na Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sofia Mjema, wakipiga picha ya pamoja na wanafunzi.
 Baadhi ya majaji katika tamasha hilo.
 Picha ya pamoja wafanyakazi wa PPF na mgeni rasmi.
Mke wa Waziri Mkuu, Tunu Pinda akimkabidhi zawadi ya mipira mwalimu wa Shule ya Msingi Kibasila, Rosemary Seleng’a  wakati wa tamasha la watoto lililoandaliwa na Mfuko wa Pensheni wa PPF, chini ya kampeni ya kutangaza fao la elimu na kufanyika jijiji Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. 
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Vupe Ligate akimkabidhi zawadi mke wa  Waziri Mkuu, Tunu Pinda, wakati wakati wa tamasha la watoto lililoandaliwa na mfuko huo, chini ya kampeni ya kutangaza fao la elimu na kufanyika jijiji Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. Katikati ni Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sofia Mjema na kushoto ni Kaimu Ofisa Utamaduni Manispaa ya Temeke, Janeth Nkini. (Picha kwa hisani ya Habari Mseto)

No comments:

Post a Comment