TANGAZO


Thursday, February 14, 2013

Precision Air yapata Ofisa Mtendaji Mkuu mpya


Ofisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Ndege la Precision Air, Sauda Said Rajab akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, baada ya kutangazwa rasmi bodi ya wakurugenzi ya shirika hilo kushika nafasi ya Alfonce Kioko (kulia) ambaye amemaliza mkataba wake. Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi, Michael Shirima.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Ndege la Precision Air, Michael Shirima (katikati), akizungumza na waandishi wa habari leo. Kushoto ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la ndege la Precision Air, Sauda Said Rajab na Mkurugenzi Mtendaji aliyemaliza muda wake, Alfonce Kioko.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Ndege la Precision Air, Sauda Said Rajab, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari wakati wa mkutano huo, jijini leo.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Ndege la Precision Air, Sauda Said Rajab akipeana mkono na Mkurugenzi Mtendaji aliyemaliza muda wake, Alfonce Kioko katika hafla hiyo. Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika hilo, Michael Shirima.

No comments:

Post a Comment