Rais
Dk.Jakaya Mrisho Kikwete leo mchana ametunuku nishani
kwa watu kutoka makundi mbalimbali ya jamii waliotumikia Taifa kwa uadilifu na
kutoa mchango wa pekee miongoni mwa waliotunukiwa nishani leo ni pamoja na Katibu
Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufaa, Eusebia
Munuo pamoja na msanii mkongwe Bi.Fatma Baraka Khamis 'Bi.Kidude'. Wengine
waliotunikiwa nishani ni pamoja na watumishi wa umma na askari Jeshi na Polisi.
(Picha zote na Freddy Maro).
Msanii maarufu nchini, Bi. Kidude akivalishwa nishani na Rais Jakaya
Kikwete Ikulu leo
Jaji
mstaafu wa Mahakama ya Rufaa, Eusebia Munuo akivishwa nishani na Rais Kikwete.
No comments:
Post a Comment