TANGAZO


Friday, November 16, 2012

Rais Jakaya Kikwete afunga Mkutano wa Majaji jijini Arusha leo

Rais Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto), akipokea risala ya waheshimiwa Majaji toka kwa muwakilishi wao, Jaji Dk. Fauz Twalib, wakati wa kufunga mkutano wa siku nne wa Majaji uliofanyika katika hoteli ya Snow Crest jijini Arusha leo, Novemba 16, 2012. (Picha zote na Ikulu)

Rais Jakaya Kikwete, akiufunga mkutano wa siku nne wa Majaji uliofanyika katika hoteli ya Snow Crest jijini Arusha leo, Novemba 16, 2012.
 
Rais Jakaya Kikwete, akiufunga mkutano wa siku nne wa Majaji, uliofanyika katika hoteli ya Snow Crest jijini Arusha leo, Novemba 16, 2012.Wengine kutoka kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magesa Mulongo, Jaji Mkuu, Mohamed Chande Othman, Waziri wa Sheria, Mathias Chikawe, Jaji Mkuu wa Zanzibar, Omar Othman Makungu na Jaji Kiongozi. Fakih Jundu.
 
Waheshimiwa Majaji, wakimsikilia Rais Jakaya Mrisho Kikwete (hayupo pichani), wakati wa kuufunga mkutano wa siku nne wa Majaji, uliofanyika katika hoteli ya Snow Crest jijini Arusha leo, Novemba 16, 2012.

No comments:

Post a Comment