TANGAZO


Thursday, November 8, 2012

Rais Dk. Shein akutana na Mshauri wa Mtawala wa Ras Al Khaimah Ikulu mjini Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na  Bw. Salem Ali Sharhan, Mshauri wa Mtawala wa Ras Al Khaimah, akiongoza ujumbe wa watu wanne, ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa mazungumzo na Rais leo. (Picha zote na Ramadhan Othman, Ikulu)


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Ujumbe kutoka Ras Al Khaimah, ukiongozwa na  Bw. Salem Ali Sharhan (wa pili kulia), akiwa ni Mshauri wa Mtawala wa Ras Al Khaimah. Ujumbe huo wa watu  wanne ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa mazungumzo na Rais leo.

No comments:

Post a Comment