TANGAZO

Friday, November 9, 2012

Max Com Africa yashiriki warsha ya wadau wanaotumia mtandao kufanya biashara

Ofisa Mauzo na Usambazaji wa Kampuni ya Maxcom Africa, Kulwa Mapigano (wapili kulia), akielezea matumizi ya mtandao wa Max Malipo kwa washiriki wa kongamano la fedha kwa njia ya mtandao uliofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Katikati ni Ofisa Uhusiano na Huduma kwa Wateja wa kampuni hiyo, Mwanahamisi Hamisi. 
Ofisa Mauzo na Usambazaji wa Kampuni ya Maxcom Africa, Kulwa Mapigano (wapili kulia), akitoa maelezo ya matumizi ya mtandao wa Max Malipo kwa mmoja wa washiriki wa kongamano la fedha kwa njia ya mtandao uliofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wa pili kushoto ni Ofisa Uhusiano na Huduma kwa Wateja wa kampuni hiyo, Mwanahamisi Hamisi. 
Ofisa Mauzo na Usambazaji wa Kampuni ya Maxcom Africa, Kulwa Mapigano (wapili kulia), akielezea matumizi ya mtandao wa Max Malipo kwa washiriki wa kongamano la fedha kwa njia ya mtandao uliofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Katikati ni Ofisa Uhusiano na Huduma kwa Wateja wa kampuni hiyo, Mwanahamisi Hamisi. 
Ofisa Mauzo na Usambazaji wa Kampuni ya Maxcom Africa, Kulwa Mapigano (wapili kulia) na Ofisa Uhusiano na Huduma kwa Wateja wa kampuni hiyo, Mwanahamisi Hamisi (katikati), wakitoa maelezo ya matumizi ya mtandao wa Max Malipo kwa washiriki wa kongamano la fedha kwa njia ya mtandao uliofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. 
Ofisa Mauzo na Usambazaji wa Kampuni ya Maxcom Africa, Kulwa Mapigano (wapili kulia) na Ofisa Uhusiano na Huduma kwa Wateja wa kampuni hiyo, Mwanahamisi Hamisi (wa pili kushoto), wakitoa maelezo ya matumizi ya mtandao wa Max Malipo kwa washiriki wa kongamano la fedha kwa njia ya mtandao uliofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. (Picha zote na Francis Dande wa Habari mseto)

No comments:

Post a Comment