Baadhi ya washiriki wa Mkutano huo wa Kimataifa wa Bima, kutoka mataifa mbalimbali wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, wakati akihutubia katika ufunguzi ukumbi wa Blue Peal leo Novemba 6, 2012.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia, wakati akifungua mkutano wa 8 wa Kimataifa wa Bima, ulioanza leo Novemba 6, 2012 katika ukumbi wa Blue Peal, jijini Dar es Salaam. Mkutano huo unatarajia kumalizika Novemba 8 mwaka huu.

No comments:
Post a Comment