Mjumbe
wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mabere Marando akizungumza na waandishi wa habari
Makao Makuu ya chama hicho, jijini Dar es Salaam jana, kuhusu matukio makubwa
yaliyotokea nchini Tanzania, yakiwemo yale ya kuchomwa kwa makanisa, maandamano
ya wafuasi wa dini ya Kiislamu pamoja na tukio la kutoweka kwa Sheikh Farid wa
Zanzibar ambaye kwa sasa amepatikana akiwa hai.
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya Chadema, Profesa Abdallah Safari akizungumza na waandishi wa
habari, Makao Makuu ya chama hicho, jijini Dar es Salaam jana kuhusu kadhia hiyo.
Baadhi ya waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali, wakiwa katika
mkutano huo, wakifuatilia habari hizo jana. (Picha zote na Francis Dande)
No comments:
Post a Comment