TANGAZO


Wednesday, September 5, 2012

Redd's Miss Northern Zone 2012 waiva kwa mchuano

 
 Washiriki wa Redds Miss Arusha wakiwa katika picha ya pamoja muda mfupi baada ya kuwasili katika kambi yao ya mazoezi, kujiandaa na shindano lao litakalo fanyika Septemba 8, 2012 katika Hoteli ya Naura Spring jijini Arusha. Jumla ya waremo 11 wanataraji kucuana vikali kuwania taji hilo. 
 Washiriki wa Redds Miss Arusha wakiwa katika pozi kwa ajili ya picha muda mfupi baada ya kuwasili katika kambi yao ya mazoezi kwa ajili ya kujiandaa na shindano lao litakalo fanyika Septemba 8, 2012 katika Hoteli ya Naura Spring jijini Arusha. (Picha na Father Kidevu Blog). 

No comments:

Post a Comment