Yaya Toure wa Man City akimchezea rafu Mikel Arteta wa Arsenal wakati wa pambano lao la Ligi Kuu kwenye Uwanja wa Etihad jijini Manchester, lililoisha kwa sare ya 1-1
Lescott (nyuma ya Poldoski 9) akifunga bao la uongozi la Man City, lililokuja kusawazishwa na kumaliza mechi kwa sare
Lescott (6) akishangilia bao lake sambamba na wachezaji wa Man City.
Carl Jenknson kushoto wa Arsenal akichuana na Scott Sinclair wa Man City




No comments:
Post a Comment