TANGAZO


Wednesday, August 29, 2012

Wabunge wa Afrika ya Mashariki kuzungumza na waandishi wa habari Jumapili

Mbunge wa Bunge la Afrika ya Mashariki, Shyrose Bhanji (katikati), akifurahia jambo na waandishi wa Chanel Ten, Kibwana Dachi na Faraja Kiongole, wakati walipofika ukumbi wa Idara ya Habari, Maelezo Dar es Salaam leo kwa ajili ya kuzungumza na waandishi, kuhusu masuala mbalimbali ya Bunge hilo. Hata hivyo mkutano huo uliahirishwa hadi Septemba 2, mwaka huu. (Picha zote na Kassim Mbarouk)


 Mbunge wa Bunge la Afrika ya Mashariki, Shyrose Bhanji (kushoto), akizungumza jambo na mmoja wa waandishi wa habari, aliyefika ukumbi wa Idara ya Habari, Maelezo jijini leo kwa ajili ya kufuatilia mkutano wa wabunge hao, uliokuwa ufanyike ukumbi wa Idara ya Habari, Maelezo Dar es Salaam leo, ambapo ilibidi kuaghirishwa hadi Septemba 2, mwaka huu, kutokana na kukatika kwa umeme kwenye ukumbi huo. Kulia ni Ofisa wa Idara ya Habari, Maelezo Jamal Mohamed.

Mbunge wa Bunge la Afrika ya Mashariki, Shyrose Bhanji (katikati), akimsikiliza mmoja wa waandishi wa habari, aliyefika ukumbini hapo, kufuatilia mkutano wa wabunge hao, mkutano ambao baadae uliahirishwa kutokana na kukatika kwa umeme. Sasa mkutano huo, utafanyika Septemba 2, mwaka huu.


Mbunge wa Bunge la Afrika ya Mashariki, Shyrose Bhanji (kushoto), akizungumza jambo na mwandishi wa Chanel Ten, Faraja Kiongole, wakati wabunge hao, walipofika ukumbi wa Idara ya Habari, Maelezo Dar es Salaam leo kwa ajili ya kuzungumza na waandishi, kuhusu masuala mbalimbali ya Bunge hilo. Hata hivyo mkutano huo uliahirishwa hadi Septemba 2, mwaka huu. 


Mbunge wa Bunge la Afrika ya Mashariki, Shyrose Bhanji (kushoto), akiwaelekeza jambo Wabunge wenzake wa Afrika ya Mashariki, baada ya kufika kwenye ukumbi wa Idara ya Habari, Maelezo Dar es Salaam, kwa ajili ya kuzungumza na waandishi wa habari kuhusu masuala mbalimbali ya Bunge hilo. Hata hivyo mkutano huo uliahirishwa hadi Septemba 2, mwaka huu. Kutoka kushoto ni Twaha Taslima, Adam Kimbisa na Abdullah Ali Mwinyi.


Wabunge wa Bunge la Afrika ya Mashariki, wakifurahia jambo, wakati walipofika ukumbi wa Idara ya Habari, Maelezo Dar es Salaam leo kwa ajili ya kuzungumza na waandishi wa habari kuhusu masuala mbalimbali ya Bunge hilo. Hata hivyo mkutano huo uliahirishwa hadi Septemba 2, mwaka huu. Kutoka kushoto ni Twaha Taslima, Adam Kimbisa, Shyrose Bhanji, Makongoro Nyerere na Abdullah Ali Mwinyi.


Wabunge wa Bunge la Afrika ya Mashariki, Shyrose Bhanji (kulia), wakizungumza jambo, wakati walipofika ukumbi wa Idara ya Habari, Maelezo Dar es Salaam leo, kwa ajili ya kuongea na waandishi wa habari, kuhusu masuala mbalimbali ya Bunge hilo. Hata hivyo mkutano huo, uliahirishwa hadi Septemba 2, mwaka huu. 


Mbunge wa Bunge la Afrika ya Mashariki, Shyrose Bhanji (kulia), akibadilishana mawazo na wabunge wenzake wa bunge hilo, wakati walipofika ukumbi wa Idara ya Habari, Maelezo Dar es Salaam leo, kwa ajili ya kuzungumza na waandishi wa habari kuhusu masuala mbalimbali ya Bunge hilo. Hata hivyo mkutano huo uliahirishwa hadi Septemba 2, mwaka huu. Kutoka kushoto ni Angela Kizigha, Twaha Taslima, Adam Kimbisa, Makongoro Nyerere na Abdullah Ali Mwinyi.

No comments:

Post a Comment