Bango la kituo cha kulelea yatima ambacho Clouds Media Group wafika kwa ajili ya kutoa misaada mbalimbali.
Mkuu wa Kituo cha Watoto Yatima kiitwacho Casadella Gioiakilichopo Raskazone, Tanga akimkaribisha Afisa Mahusiano wa Clouds Media Group Simalenga Simon wakati alipoiongoza timu nzima ya Serengeti Fiesta 2012 kutoa misaada katika kituo hicho.
Baadhi ya yatima wa kituo hicho, wakiwa wamepozi.
Watoto Yatima wa kituo cha Casadella Gioia wakiwakaribishawageni kwa kuwaimbia wimbo.
Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Halima Dendego akiwakaribisha wagenimara baada ya kuungana na Watoto Yatima wa kituo Casadella Gioia mara baada ya timu nzima ya Clouds Media Group kutembelea kituohicho.
Msanii wa Kizazi Kipya, Juma Nature akiwa amebeba moja ya mizigo
iliyotolewa.
iliyotolewa.
Mkuu wa Kituo cha Watoto Yatima kiitwacho Casadella Gioiakilichopo Raskazone, Tanga akipokea misaada kwa Afisa Mahusiano waClouds Media Group Simalenga Simon (wakiwa wameshikana Mikono) katikati ni Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Halima Dendego.
Wakiwa katika picha ya pamoja na wageni waalikwa.
Wasanii waliotembelea kituo hicho.
Mkuu wa Kituo cha Watoto Yatima kiitwacho Casadella Gioia kilichopo Raskazone, Tanga akiwakaribisha wageni.
Watoto wakisikiliza kwa makini.
Afisa Mahusiano wa Clouds Media Group Simalenga Simon akieleza
machache kabla ya kukabidhi misaada yao.
machache kabla ya kukabidhi misaada yao.
| Mmoja wa wafanyakazi wa Clouds Media Group, akizungumza katika hafla hiyo. |
Baadhi yaiongozi wa Kituo hicho walipoungana na watoto
kuwapokea wageni.
kuwapokea wageni.
Kiongozi wa Watoto akiwatambulisha wenzake wakati walipotembelewa na
Timu nzima ya Serengeti Fiesta 2012 ilipotembelea kituoni kwao.
Timu nzima ya Serengeti Fiesta 2012 ilipotembelea kituoni kwao.

No comments:
Post a Comment