TANGAZO


Tuesday, August 21, 2012

CEGODETA yataka fedha zilizofichwa nje na vigogo zirejeshwe nchini

Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi ya Utawala bora na Maendeleo Tanzania (CEGODETA), Thomas Ngawaiya, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu kutaka kurejeshwa kwa fedha zilizofichwa nje ya nchi na vigogo wa nchi. Kushoto ni Mkurugenzi wa Utafiti wa taasisi hiyo, Hamad Tao. (Picha zote na Kassim Mbarouk)
 
Baadhi ya waandishi wa habari, wakimsikiliza kwa makini Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi ya Utawala bora na Maendeleo Tanzania (CEGODETA), Thomas Ngawaiya, wakati alipokuwa akizungumza nao, Dar es Salaam leo, kuhusu kutaka kurejeshwa kwa fedha zilizofichwa nje ya nchi na vigogo wa nchi.


 Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi ya Utawala bora na Maendeleo Tanzania (CEGODETA), Thomas Ngawaiya, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu kutaka kurejeshwa fedha hizo, alizosema zimefichwa nje ya nchi na vigogo. 

 baadhi ya waandishi wa habari, wakimsikiliza n kuandika maelezo yaliyokuwa yakitolewa na  Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi ya Utawala bora na Maendeleo Tanzania (CEGODETA), Thomas Ngawaiya (hayupo pichani), wakati alipokuwa akizungumza nao, Dar es Salaam leo, kuhusu kutaka kurejeshwa kwa fedha zilizofichwa nje ya nchi na vigogo wa nchi.

 Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi ya Utawala bora na Maendeleo Tanzania (CEGODETA), Thomas Ngawaiya, akijibu baadhi ya maswali yaliyokuwa yameulizwa na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati alipokuwa akizungumza nao, kuhusu kutaka kurejeshwa fedha zilizofichwa nje ya nchi na vigogo. 

  Waandishi wa habari, wakiandika na kusikiliza maelezo ya majibu ya maswali waliyomuuliza Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi ya Utawala bora na Maendeleo Tanzania (CEGODETA), Thomas Ngawaiya (hayupo pichani), wakati alipokuwa akizungumza nao, Dar es Salaam leo, kuhusu kutaka kurejeshwa kwa fedha zilizofichwa nje ya nchi na vigogo wa nchi.

 Mkurugenzi wa Utafiti wa taasisi ya CEGODETA, Hamad Tao, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari, wakati Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi hiyo, Thomas Ngawaiya, alipokuwa akizungumza nao, Dar es Salaam leo, kuhusu kutaka kurejeshwa kwa fedha zilizofichwa nje ya nchi na vigogo. 

No comments:

Post a Comment