TANGAZO


Monday, July 30, 2012

Rais wa Zanzibar, Dk. Shein awasili kisiwani Pemba

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Viongozi mbali mbali wa Chama na Serikali, alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Karume Pemba leo akiwa katika ziara maalum ya Mikoa ya Kusini na
Kaskazini. (Picha zote na Ramadhan Othman,ORZ)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein, wakisalimiana na Viongozi mbali mbali,wa Chama na Serikali,
alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Karume Pemba leo akiwa katika ziara maalum ya Mikoa ya Kusini na Kaskazini.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Viongozi wakuu wa Vikosi vya Ulinzi Pemba, alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Karume Pemba leo akiwa katika ziara maalum ya mikoa ya Kusini na
Kaskazini.

No comments:

Post a Comment